arusha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  2. JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  3. JamiiForums Tanzania Mmoja atupwa jela, wawili waachiliwa kwa Plea Bargain kwa kutengeneza pombe feki Arusha

    Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na kukutwa na pombe feki pamoja na stempu feki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Adhabu hizo zimetolewa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awasili Arusha, kufungua kongamano la wanamipango

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

    Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Arusha: Binti wa miaka (24) afariki baada ya kupigwa chupa akiwa klabu

    Binti anayefahamika kwa jina la Irene, mwenye umri wa miaka (24), mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara, Jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujeruhiwa kwa chupa wakati akiwa pamoja na wenzake katika eneo la The HUB. Mama mzazi wa Irene, Mariam Selemani, amesema marafiki wawili wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  9. JamiiForums Tanzania WADAU WA UTALII ARUSHA WAPONGEZA JUU YA ONGEZEKO LA MIKUTANO YA KIMATAIFA

    Zaidi ya washiriki 3,000 kutoka mataifa mbalimbali wanahudhuria Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Idadi hii kubwa ya wageni ni kielelezo tosha cha jinsi utalii wa mikutano mkoani humo unavyozidi kushika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Impliedly; RPC Arusha anamaanisha wanaostahili kupigwa ni migambo sio askari wa Polisi

    Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
  11. JamiiForums Tanzania Bodaboda wanauwawa kwa wingi ARUSHA JIJI, Jeshi la Polisi Lipo

    Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka. Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa. Aina ya Mauaji ni ileile Kukatwa Shingo Kutobolewa Macho. Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti. Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI ...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi adaiwa kuwapiga Vijana Wawili Waliokuwa Wamefungwa Pingu Kuelekea Kituoni cha Polisi

    Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video...
  14. JamiiForums Tanzania Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  16. JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano Arusha: Madereva wa taksi wafunguka wanavyonufaika kiuchumi

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Afya Msingi Arusha: Safari ya SDGs

    Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba awasili Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe enthroversy na introversy ni ni hawa Gen Z wa Arusha?

    Ni vitoto fulani hivi vinajiona vya kishua vishamba shamba tu hata Ngarenaro haviwezi kufika kama hamna mlinzi. Wanafanya nini mda wote vyumbani kwao. Ni kupiga puli,kucheza game kulala× repeat. Baba pays Videmu ndo hivi vinajifanya visagaji havimtegemei mtu vinaweza kulea malaya yoyote. Baba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…