arusha

  1. JamiiForums Tanzania Mauaji ya askari Arusha

    #BREAKINGNEWS Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), aliyekuwa mkazi wa Jiji la Arusha. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Oktoba 12, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, amesema...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge wa Chama cha MAKINI Arusha awaonya Heche na Maria

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai kuwa wanatengeneza matukio yenye lengo la kuharibu taswira ya amani ya Tanzania. Soma pia: Mpina...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro zimepatwa na nini kwenye siasa?

    Hizi zilikua ndio ngome za upinzani na harakati ila sasa naona kama CCM wanaogelea tu na wanapata support ya vijana tofauti na nilivyofikiria. Nini kimewapa?
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanaidharau na kutaka kuikomoa Arusha?

    Kwa wanaojua namna wana Arusha wanavyojitambua na walivyo na historia ya kuchagua upinzani ukiondoa mwaka 2020 ambapo Magufuli aliwafanyia ujambazi, anashangaa maana na mantiki ya CCM kuweka Daudi Albert Bashite kama mgombea wao. Sidhani kama anaweza kupata kura hata moja kama kura...
  7. JamiiForums Tanzania Pata mayai jumla - Arusha

    Nauza mayai organic Arusha. Bei jumla 8,500-11,000/= kwa tray. Ukihitaji piga simu 0763784190
  8. JamiiForums Tanzania KERO T559 EBX Bus ya Loliondo kutoka Mwanza Kwenda Arusha Mlitaka Kutuua kwa ubishi wenu

    Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo Ipo hivi-: Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa zimebaki kama km 35 kuingia Babati mjini tukaanza kuona moshi ndani ya gari na kusikia harufu kama ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani. Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nikishinda Ubunge nitamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha

    Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au? ================ Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za...
  11. JamiiForums Tanzania Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

    Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi...
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Assured Dar to Arusha nusu tank na robo only - 2017 Ford Ranger Wildtrak (Diesel)

    Bei/Price TSH 75M Call +255 747 999 927 FORD RANGER WILDTRAK Year: 2017 Engine: 3.2L Mileage: 82K Fuel: DIESEL Transmission: AUTO Winkers Fog Lights Sport Rims Clean Interior Well-Maintaned Exchange Possible
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Sanamu ya Lissu yazinduliwa Arusha

    Au hii habari ni fake news?
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waandishi wa habari wa Jambo TV na Manara TV washikiliwa Arusha

    Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha* Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
  16. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kinanda au keyboard arusha

    Wana jamii habarini. Naomba msaada wa kujua ni wapi naweza nikapata mafunzo ya kinanda au keyboard ya mziki hapa arusha mjini. Hata kama ni mtu binafsi ila anifundishe kitaalam na awe na kinanda chake. Shukran
  17. JamiiForums Tanzania IT Intern Arusha anahitajika

    Fursa hiyo
  18. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mechanical ya arusha technical na nit ipo bora

    Habr Kama kichwa kinavyo jieleza hapo naomba ufafanuzi mzuri kuhusu hivyo vyuo viwili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…