arusha

  1. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Mkandarasi anayejenga barabara kuelekea Uwanja wa AFCON 2027 Arusha hataongezewa muda

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya M/s China Railway Construction Engineering Group kuhakikisha ifikapo Mei 2027 iwe imekamilisha ujenzi wa miundombinu ya bababara za kuelekea na kuzunguka uwanja mpya utakaotumika katika Mashindano ya...
  2. BigTall

    KILIMANJARO: Kijana afariki kwa kujinyonga Kata ya Machame, anakuwa kijana wanne kujinyonga katika kata hiyo ndani ya Miezi 18

    Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 35 ajulikanae kwa jina la Allen Malya anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka lake, tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kitongoji cha Sereni Kijiji cha Usari, Kata ya Machame Narumu, Kilimanjaro. Kaka Mkubwa wa marehemu ajulikanae kama Samora...
  3. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  4. McLaren

    Katibu Tawala Arusha: Ni marufuku kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kumiliki mihuri ya ofisi za Serikali

    Wakuu, Akizungumza Machi 13 2026 na watendaji wa Serikali mkoani Arusha Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Toba Nguvila amepiga marufuku wenyeviti wa mitaa na wenyeviti wa vijiji kutomiliki mihuri ya ofisi za Serikali akisisitiza kuwa mihuri hiyo inapaswa kutumiwa tu na watendaji walioko kisheria
  5. M

    Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  6. Pdidy

    Waziri Gwajima msaada wako huku Arusha na hii kesi na ndugu wapewe funzo kupora mali za wajane

    MAMA YETU GWAJIMA SHIKAMOO POPOTE ULIPO KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA MBAYA...
  7. Archival Sense

    Museveni To Take Over as EAC Chairman

    President Yoweri Kaguta Museveni is set to take over the chairmanship of the East African Community (EAC) during the 25th Ordinary Summit of the EAC Heads of State held in Arusha, Tanzania. Museveni is set to assume the regional leadership role as heads of state from member countries convene in...
  8. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  9. H

    Waziri Kombo ampokea Rais wa Burundi kushiriki mkutano wa 25 wa EAC - Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
  10. H

    Waziri Kombo ampokea Rais Rutto kushiriki mkutano wa 25 wa EAC Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
  11. H

    25th EAC Heads of State Summit to Launch Landmark Regional Customs Bond in Arusha

    𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓 📍 Arusha, Tanzania 🗓️ 7th March, 2026 🔹 During the Summit, the Heads of State are expected to launch the EAC Customs Bond; a single regional customs guarantee that replaces the current requirement for multiple national bonds along transit routes. 🍃 Under the...
  12. A

    KERO Hata haya mashimo Barabara ya Singida - Arusha tusubiri Waziri Mkuu apite ndiyo tumwambie ili atoe maelekezo?

    Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club. Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo...
  13. BigTall

    KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  14. Stuxnet

    TANZIA Mrina, mmiliki wa Mrina Bar za Arusha na Manzese afariki

    Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki. Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
  15. A

    KERO Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Arusha timiza wajibu wako

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'. Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
  16. H

    Maandalizi ya mkutano wa wakuu wa nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa...
  17. Roving Journalist

    Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
  18. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha tunawekewa matokeo tofauti na yaliyopo kwenye TRANSCRIPT

    Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake. Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
  19. H

    Arusha: Waziri Mkuu, Mwigulu akagua maendeleo ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
Back
Top Bottom