Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 257
- 764
Arsenal akishinda nipewe ban ya siku 3, nimechoka kelele zao😵💫'
Aloooo hawa watu wana keleleee sanaaaaaaà, unawanaonea huruma wana miaka ya mtu mzima bila kombe ila wakishinda hatunywi maji!
PSG nao wana kiu ya kushinda na usongo wa kupata ushindi kwa mara ya pili, mechi otakuwa motooo, ila sitaki Aseno aashinde ili tupumue.
Mods mfanye kazi yenu vizuri muda ukifika!
Updates
Dakika 44, Arsenal bado yupo mbele kwa goli moja.
Mechi ipo on fireee
Dakika 45 zimekamilika kibabe kabisa
Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza PSG wapo makini kutaka kusawazisha
Arsenal wamebana lakini wameachiaa ngoma bado mbichi
Kwa mara nyingine #Arsenal imepoteza taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (#UEFAChampionsLeague) kwa kukubali kichapo cha penati 4-3 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika dakika 120 kutoka kwa Paris Saint-Germain (#PSG) katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Puskas Arena, Mei 30, 2026.
Arsenal haijawahi kushinda taji hilo, hivyo inakuwa imepoteza fainali yake ya pili baada ya ile ya Mwaka 2006 dhidi ya Barcelona, pia imekwama kuweka rekodi ya kutwaa kwa pamoja UEFA pamoja na Premier League ambalo wamebeba Msimu wa huu