arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Dakika/saa chache zijazo Arsenal watatangazwa bingwa wa EPL na siku chache zijazo kuwa mabingwa wa UCL

    🎶🎶Watatii (finale) Watatupenda (finale) Referee (finale) Puliza kipenga (finale) Oooh watatii (finale) Watatupenda (finale) Referee (finale) Puliza kipenga (finale) 🎵.
  2. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Kumbe Vale Nafaka ni Shabiki wa Arsenal.

    Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL. Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal. Si mwengine bali ni Valentina Gabriel al maarufu Vale nafaka nembo ya taifa mrembo wa taifa binti mrembo mwenye uzuri...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Arsenal wazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026/27

    Arsenal wanazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026–27 kabla ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League final.
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Machozi, jasho, damu, kukata tamaa,masimango, kejeli na kuendelea kupambana mpaka ubingwa, Arsenal the club, funzo la maisha

    Nitalia arsenal atapo beba ubingwa, hakika hii ni kubwa kuliko, funzo kubwa kwenye maisha linatolewa na arsenal, mara ya mwisho kubeba ubingwa wa epl nadhani ilikua 2003/2004. Ni miaka 22 imepita bila kukata tamaa, wameshindwa sana, hawa kukata tamaa, na sisi sasa tujifunze. hujapata bahati ya...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Arsenal tunachambua mchele kabisa

    Tumeshaingia fainal Kishindo kikubwa cha dunia kubeba kombe uefa bila kufungwa
  6. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

    Habari zenu, Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania FT: Arsenal 1 - 0 Atletico Madrid | UEFA Semi Final 2nd Leg | Emirates Stadium | 5 Mei 2026

    Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Nusu fainali ya kwanza iliyofanyika katika uwanja wa Metropolitano jijini Madrid...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

    Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie. Beto ataweka chuma tunamaliza mchezo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Atletico Madrid 1-1 Arsenal | UEFA Semi Final First Leg | Riyadh Air Metropolitano | 29 Aprili 2026

    Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi ya marudiano (2nd leg) inatarajiwa kupigwa Jumanne Mei 5, 2026 kwenye Uwanja wa...
  10. PLOII

    JamiiForums Tanzania WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

    Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England. I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or give a cross earlier before the critical deadlock from the two defenders. Number of goals this season...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Manchester City 2-1 Arsenal | EPL | 19.04.2026 | Etihad

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi yakuamua Msimu | Man City vs Arsenal | Premier League- Round 33 | Etihad Stadium | 12:30 Jioni

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Arsenal -Uganda achachamaa dhidi ya matokeo mabovu, anuia kuishtaki kwa uzembe, na atadai fidia isipoeleza mkakati wa kurudisha kiwango

    Shakibi mmoja wa Arsenal nchini Uganda ameshindwa kuvumilia matokea mabaya inayopata timu na ameichapa notice ya malalamiko na kudai kuwa atachukua hatua za kisheria dhidi ya Klabu, wachezaji wake wa kikosi cha kwanza pamoja na meneja wake Mikel Arteta kufuatia uchezaji usiokubalika dhidi ya...
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania FT | Arsenal 1-2 Bournemouth | EPL | 11.04.2026 | Arsenal washikwa Bega na Bournemouth

    Arsenal, ambao ni vinara wa Ligi Kuu England (EPL), wamepoteza mchezo huo kwa mabao 2-1 dhidi ya Bournemouth katika dimba la Emirates. Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kubaki na alama 70 baada ya kucheza michezo 32, huku wapinzani wao wa karibu, Manchester City, wakiwa na alama 61 na michezo 30...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 9 wa Arsenal wajiondoa kwenye Timu za Taifa kisa Majeraha

    Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Arsenal 0-2 Man City | Fainali Kombe la Carabao | Wembley | Man City Bingwa!

    Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens). Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe. Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea? Mchezo huu...
  17. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL haya yatatokea.

    Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu. 1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani. 3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao. 4...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Arsenal inanitesa. Mapenzi yananitesa. Mi nitakua mgeni wa nani?

    Aisee hii timu muda wa kunifariji yenyewe ndio inanitesa.
  19. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Arsenal atachukua EPL kwa tofauti ya Point moja tu Manchester City

    Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania PASTA HANANJA MASHABIK WA BARCELONA NA ARSENAL TUNAOMBA MAOMBI YAKO USIKU HUU WENGINE KITANDA HAKILALIKI

    BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO AMEN
Back
Top Bottom