app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania App nzuri kwaajili ya Wafanyabiashara

    Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara. Inauzwa 20,000/= tu. Anicheck WhatsApp 0764181161 Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna Inavyofanya Kazi.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa kutengeneza App na website

    Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

    Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
  4. JamiiForums Tanzania What's app keeps stopping

    Habari wadau Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory settings,lakini bado ukidownload mwendo ni uleule. Sasa hii app imekuwa haina raha tena mwenye kufahamu...
  5. JamiiForums Tanzania App gani ni nzuri Playstore ya kuangalia matukio live hasa la leo

    Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App nzuri ya muziki

    Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto na uzembe wa wahusika wa DSE mobile APP

    Kama mmoja wawatumiaji wa Mobile Trading iliyoanzishwa na Dar es salaam Stock Exchange siku za husoni napenda kuzungumzia yafuatayo kwa kuwasadia watumiaji wa sasa na wajao pamoja na kuwajibishwa na wanaosimamia hiyo DSE mobile Application. 1. Kwa uwelewa wangu mdogo , Mobile App yoyote kabla...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anatumia app ya clubhouse?

    Kwa anaetumia clubhouse tupe mrejesho. Je ni nzuri? User friendly?
  9. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

    Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa. https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu App ya namna hii

    Wakuu kuna app ya kufanya manunuzi ambayo mtu ata deposit pesa alafu anaifanyia manunuzi kama ilivyo app za sport betting mtu anaoder bidhaa na pesa inakatwa pale kwenye wallet yake ? Mwenye anajua uwezekano wake na budget yake ipoje MSAADA TAFADHARI
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa MB kwa App za Radio

    Ningependa kujuzwa au kufahamu ulaji wa MB kwa App za Kusikiliza Radio Online
  12. JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO hawawezi kuunda app ya kununua umeme na kuingiza?

    Ununue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
  13. B

    JamiiForums Tanzania APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Habari wazawa ! Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Business Partner are needed

    Habari wana jamii! Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila mmoja ana 1M, na kila mmoja nitampa share ya 40% na 20% nachukua mimi kama mbeba maono. Kama upo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania App developer wa Tanzania kuweni serious basi

    ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini tanzania hatuna apps store yetu?

    Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu. Kwanini hatuna apps store yetu?
  17. JamiiForums Tanzania Ukitengeneza Mobile App halafu watu wawe wananunua vitu humo ndani, unatumia njia gani hapa Tanzania?

    Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile. Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi? Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

    Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (I.E zaidi ya 200) kwenye SMS App yangu

    Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo ningependa tujuzane. Lengo langu ni niweze kutuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  20. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

    Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…