Ukitengeneza Mobile App halafu watu wawe wananunua vitu humo ndani, unatumia njia gani hapa Tanzania?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile.

Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi?

Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
 
Kama utaweka app yako feature ya In app purchase,
Google wanalazimisha malipo yafanyike kwa kwa njia yao ya Google Play's billing system overview

Hapo wanakata asilimia 30, na ukienda kinyume google wanaitoa app yako play store.

Ila kama unauza physical product huitaji kutumia google play in app billing.

Unaweza kutumia m-pesa siku za karibuni voda walizundia open api.
Pesapal wanahitaji leseni ya biashara ili utumie mfumo wa mobile money.

Kumbuka kama app yako ipo play store na unauza digital product basi utalazimika kutumia mfumo kandamizi wa google.

Kampuni za games zimelalamikia haya masharti ya google playstore
 
Shukrani mkuu. Hivi vitu kama muziki, vitabu nk. Huhesabika kama in app purchase? Mtu ananunua na kusikiliza humo kwenye app au kusoma humo kwenye app, inahesabika no in app purchase?
 
Physical products, In app purchase ni ile unakuta inabidi ulipie ili kupata huduma fulani kwenye application
 
Ndio kama hivyo vitabu ni e-books, hizo zinahesabika digital products labda kama hayo mafile unayouza kutumia platform nyingine. Lakini kama una-host kila kitu mwenyewe google wanalazimisha utumie mfumo wao hata netflix ni wahanga wa hili.
 
Physical products, In app purchase ni ile unakuta inabidi ulipie ili kupata huduma fulani kwenye application
e-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.

Netflix wamelazimishwa kutumia google billing.

Kama unataka kuepuka haya, usiweke app yako playstore.
 
Nimesoma hapo, imekaa vibaya sana. Sasa sijui hiyo google play billing system kama itakuwa rafiki kwa watanzania? Sijui kama inaweza kuungwa na hizi mpesa?
 
Waelimishe watumiaji jinsi ya kujiunga na m-pesa master card. Tengeneza activity itakayokuwa ni intsruction ya m-pesa.

Hii project ya kulipia unalenga watanzania kabisa?
 
Yah, nalenga watanzania tu.
 
Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile.

Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo kirahisi?

Ukizingatia kuwa watanzania pesa zao nyingi zipo kwenye simu (M-Pesa etc).
mpesa mastercard pesa inatoka mpesa to card then anawalipa Google the Google wanakulipa wewe
 
Hii mpesa master card ni nzuri sana. Nilifanya malipo ya kuweka app play store kupitia hii. Tatizo ni kuwa watu wengi hawajahamasika kuitumia.
Labda wahamasishwe kama sana kama mkuu alivyosema hapo juu.
 
ila mbona Voda wanatuma sms nyingi tu kuhusu hii kitu sidhani tatizo sio njia za malipo tatizo wabongo wengi bado hawakimbizani na teknolojia Sasa Kama kikuu tu watuu wanaogopa kununua vitu at the sametime wanaona umeagiza na kimekufikia na umetumia mpesa ya kawida tu tatizo lipo kwenye online business in general.
 
ila mbona Voda wanatuma sms nyingi tu kuhusu hii kitu sidhani tatizo sio njia za malipo tatizo wabongo wengi bado hawakimbizani na teknolojia Sasa Kama kikuu tu watuu wanaogopa kununua vitu at the sametime wanaona umeagiza na kimekufikia na umetumia mpesa ya kawida tu tatizo lipo kweny online business in general.

Kikuu kuna wadau wanalalamika jamaa hawana uaminifu, wanauza simu blacklist au mbovu, na kwenye mtandao hakuna adui mbaya wa biashara yako kama ukose uaminifu au kuaminiwa
 
e-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.

Netflix wamelazimishwa kutumia google billing.

Kama unataka kuepuka haya, usiweke app yako playstore.
google wameamua kula na programmers
 
e-book, music, ramani za kwenye app hizo zinahesabika kama digital goods.

Netflix wamelazimishwa kutumia google billing.

Kama unataka kuepuka haya, usiweke app yako playstore.

nisipoieka playstore watumiaji wangu wataipata wapi?
 
Back
Top Bottom