app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ma IT wa Bongo tutengenezeeni hii APP (kupanga/ kupangisha/ kununua etc)

    Habari za muda huu... Leo nimewaza jinsi madalali wanavoharibu soko la vitu TZ ila ni sisi wenyewe ndio tunawaendekeza sana, nikiangalia vyuo vyetu UDSM, DIT, MUST etc etc wanazalisha ma IT kibao kila mwaka ila wote wanaishia kutengeneza website ambazo ndani ya mwaka zinakufa. Leo naomba...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hili sharti kwenye APP ya CRDB Simbanking lina maana gani?

    Mimi ni mteja wa benki ya CRDB. Kadi yangu ya benki imekwisha muda wake; hivyo jana nilikwenda kweny Tawi lao kwa ajili ya kupata kadi mpya. Mhudumu wa benki aliniambia utaratibu wa kupata kadi mpya ni ku-apply kwa kutumia App ya CRDB. Nilifanikiwa ku-download App ila nilisita kukubali...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
  4. JamiiForums Tanzania Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Bongo usitake kutengenezewa app, bora ununue template na wakufanyie customization.

    Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
  7. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

    Price yangu ni affordable na ya makubaliano. Nina Business Centric Approach, yenye lengo ya kuipush idea yako ifanikiwe kwenye market ikiwemo na ushauri wa bure jinsi gani inaweza fanikiwa. Technologies ninazotumia; 1. Laravel (version 6 up to 8) 2. Vuejs(Version 2 up to 3) 3. Database(Mysql)...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kusreenshot kwenye app ambayo hairuhusu screenshots?

    Wazee habari za kutwaa...... Naomba nisaidiwe shida tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani. Ahsante.
  9. JamiiForums Tanzania Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  10. JamiiForums Tanzania CRDB kutokuonyesha kiwango cha makato kabla ya kufanya muamala kwa App au SIM Banking ni wizi na uhujumu uchumi

    CRDB kupitia app yao au njia ya code *150*03# hawaonyeshi kiwango cha pesa utakachokatwa mara ukikubali kufanya huo muamala. Huu ni wizi na uhujumu uchumi kwa watumiaji wa CRDB. Ili upate laki 1 kwenye simu unaweza kushituka wamekula elfu 5 na ukitoa kwa wakala let's say tigopesa wakikukata...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  12. JamiiForums Tanzania WhatsApp itaweka sehemu ya "ku-edit message"

    WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa. Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma analazimika kuifuta message na kuandika upya. WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada AZAM MAX APP. Nifanyeje kupata chaneli zinazoonesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho za CAF za Simba na Yanga?

    Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa. kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
  14. JamiiForums Tanzania Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

    Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki...
  15. JamiiForums Tanzania APP ya ku flash simu

    Naomba msaada kwa yeyote mwenye software za ku flash smart phone. Nahitaji ku flash VIVO Y1S
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe draft la app ya dalmax ni la kitula

    Nimeingia playok, nikaset ugumu wa dalmax 100% Tanzanian rules, nikawa na smartphone mbili, nlikuwa nawaunga ninaocheza nao Playok na dalmax, nilikutana na mtu nkapigwa suti goli 3-0 mfululizo, na mtu mwenye point 1300 tu, nilichukia kweli
  17. JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  18. JamiiForums Tanzania Apple kuruhusu watumiaji kuweka Apps za nje ya App Stote

    Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store. πŸ“² 𝙆𝙬𝙖 π™ π™–π™¬π™–π™žπ™™π™–, ukiwa unataka kuweka app kwenye simu ya iPhone, unalazimika kwenda katika App Store...
  19. JamiiForums Tanzania App ya movie (Movie Box Pro)

    Mambo vipi wakuu bila Shaka mko good ok, leo nimeona niwaletee hii app kwa wale wapenzi wa movies Aina zote basi app hii utapata mpaka season cha kufanya ni kwenda Google search then pakua au download kwenye cmu yako au hata pc isipokua App hii ipo Tu kama Netflix japo hii ulipii kupakua movie...
  20. JamiiForums Tanzania App and Laravel Developer anahitajika haraka. Awe Dar

    Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu. Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…