app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. babuumzuri

    JamiiForums Tanzania WEB APP TO MySQL

    Habarini. nawezaje ku connect web application na mysql database ili user anapo input taarifa zake mfano za registration ziende moja kwa moja mpaka kwenye database. hapa tayari nimecreate web app na database via mysql ila nimeshndwa namna ya kuziconnect. naombeni msaada. natanguliza shukrani.
  2. Tanzania Tech

    JamiiForums Tanzania Gazeti App

    Kama wewe ni mmoja wa watu amao unataka kupata habari kwa wakati na kwa haraka basi app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali za hapa Tanzania kutoka kwenye vyanzo bora hapa Tanzania. Pamoja na kuwa unawaza kuwa hitaji app nyingine ya habari kwenye simu yako lakini hebu nipe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Instagram App haifunguki

    Nimepata changamoto App ya Instagram haifunguki. 1.Nimejaribu kuingia kwenye settings na kuclear cache still ni vilevile. 2.Nikatoa App na kuinstall tena bado vilevile. 3.Nikazima simu na kuiwasha bado ni vilevile. 4.Nikajaribu kuinstall old version ya nyuma still bado haifunguki. Mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NBS Mmeshindwaje kutengeneza app yenu ya sensa? Kwa nini mnatumia app ya CSEntry ya USA?

    CSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania. Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu. NBS mlishindwaje kujiandaa...
  5. Planett

    JamiiForums Tanzania Maoni: AzamTVMax Web App

    Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Staki Kuamini App ya Mwananchi Yanga Inamilikiwa na Yanga

    Hivi majuzi Manara alikuwa amekuwa akipromote App moja inaitwa Mwnanchi App Yanga kana kwana kwamba ni App rasmi ya Yanga. Binafsi hii hii haiina hadhi ya kuwa official apps inayomilikiwa Club Kubwa na Kongwe hapa barani Africa Yanga ni Club Kubwa na Kogwe lazima Mambo yake, Miundo mbinu...
  8. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu refund App ya HESLB

    Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
  9. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Hii App ya NaPA ya postcode imekosewa sana

    Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App. Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  11. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ujue umuhimu wa kusasisha (Update) simu au Apps zilizopo kwenye simu yako

    Salaam Wakuu, Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika kwenye vifaa vingine vya kidijitali iliwamo Computer Smart TV na android TV. Mada hii itajikita...
  13. TechPlatform

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza Android App bure

    Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
  14. Simeone

    JamiiForums Tanzania Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
  15. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha App ya kukopa ,kununua bidhaa za majumbani

    Wasalaam Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu, Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania App gani nzuri na ina ligi nyingi za kuangalia live kwenye smartphone?

    Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
  17. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania App ya JF ina-crash tu tangu jana

    Habari za muda huu wanajukwaa,tangu jana najaribu kufungua app ya jf lakini naambiwa ipo down.Shida nini?
  18. Misokalya

    JamiiForums Tanzania NIKOPESHE App ya mikopo, kuna anayeifahamu?

    Habari wana JF, Kuna mtu yeyote humu anayeifahamu au aliyewahi kuitumia hii App ya Nikopeshe? Wanatoa mikopo bila riba na unachohitaji ni namba ya NIDA tuu. Ushauri wenu tafadhali.
  19. Superfly

    JamiiForums Tanzania Ni android App zipi zinaweza kuedit PSD, EPS file format? kama adobe Photoshop na illustrator?

    Habari wakuu? Hivi Ni android App zipi zinaweza kuedit .psd, .eps file format?? kama adobe Photoshop na illustrator? Nahitaji msaada Wakuu NIMEKWAMA.
  20. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Apple kufuta app ambazo hazitokuwa updated kwa miaka 3

    Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS. Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app. Kwa...
Back
Top Bottom