android

  1. JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishapata simu ya Android iliyopotea kwa kuitrack location.?

    Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni. Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—บ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

    Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls. ๐ŸŽจ Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—จ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—จ๐—ž๐—”๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—” ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐—— ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—”๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  5. JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight ๐Ÿ’ก. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—ค๐—ฅ ๐—–๐—ข๐——๐—˜ ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—œ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐Ÿ‘€

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ†’ Messages โ†’ Device Pairing โ†’ Scan QR Code โ†’ Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ โ€” na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! ๐Ÿ” Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja โœจ Gemini...
  8. JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail๐Ÿ‘‹. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ Gmail sasa inaonyesha โ€œCopy codeโ€ โ€” bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja ๐Ÿ“‹โšก...
  10. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ๐˜€

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive ๐Ÿ‘‹. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. ๐Ÿ‘€ Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ฎ๐—ฟ๐—ฟ๐˜† ๐—ฃ๐—ผ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

    Google yenyewe inasema โ€œno wand requiredโ€ โ€” yaani huhitaji fimbo ya kichawi; kutumia huu mfumo ๐Ÿ˜Ž. Google imeleta Harry Potter Audiobook Packs kwenye Pixel, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea ujio wa matoleo mapya ya Harry Potter: The Full-Cast Audio Editions kwenye Audible. ๐ŸŽง๐Ÿ“š Sasa unaweza...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Apps nzuri kwa WAKRISTO WAKATOLIKI ninazo recommend Android na iOS.

    Android na iOS. Tafakari nasi- hii ni shajara, na Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, rozari takatifu, tafakari ya siku na sala mbalimbali. Pia inafanya kazi bila mtandao. Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi kazi bila internet. Radio Maria- hii ni radio na podcast. Auxilium...
  13. JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE โ€” ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  14. JamiiForums Tanzania Whatsapp Kuzuia chati zako

    Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama. Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale...
  15. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ

    Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu ๐Ÿ‘‹ WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili โšก๐Ÿ“ฑ Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2ร— speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania TikTok kiboko imeweka voice note kwenye Comment

    Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok ๐Ÿ˜„. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ”ฅkwa kuongezea Vipengele vipya kama vile: ๐ŸŽ™๏ธ Voice Comments โ€” badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
  17. JamiiForums Tanzania Google Play Store yapata kipengele kipya!

    Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo. Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! ๐Ÿ‘€ Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio ๐Ÿ‘‹. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
  19. JamiiForums Tanzania Google photos imepata feature ambayo watu wa iPhone wanayo kitambo

    Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja. Sasa Google Photos kwenye Android imeleta uwezo wa kuweka picha unazochagua mwenyewe kwenye โ€œPhoto Stackโ€ moja. Badala ya...
  20. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—˜๐—™๐—ง๐—ข๐—ข๐—•๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ ๐——๐—œ๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ข๐—ก ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—จ โšฝ

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani ๐Ÿ˜ nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio ๐Ÿ‘‹. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa ๐Ÿ˜€. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ