๐—ง๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

๐—ง๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,389
Reaction score
2,844
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu baadhi ya watumiaji wa Android kukumbana na tatizo la Boot Loop baada ya kufanya update ya Google Play System na simu kujifanyia Restart.

Tatizo hili linaweza kuifanya simu yako ishindwe kuwaka kikamilifu, badala yake kubaki kwenye logo na kujirudia kuwaka na kuzima kila mara.๐Ÿ˜ณ

Kwa sasa, tunawashauri watumiaji kuwa makini na kusubiri taarifa zaidi au uthibitisho wa suluhisho kutoka Google kabla ya kukimbilia kusakinisha sasisho hilo.

๐Ÿ”” Kumbuka Si kila simu ya Android imeathirika, hivyo usiwe na hofu bila sababu.

๐Ÿ’ฌ Je, umewahi kukutana na tatizo la simu kukwama kwenye logo baada ya kufanya Software Update?
 

Attachments

  • file_000000003a9c82119750d68742a6b5e1.png
    file_000000003a9c82119750d68742a6b5e1.png
    1 MB · Views: 3
Android kweli siyo Simu nina miezi 3 iPhone yangu sijawahi kuizima na sijawahi kuiona ina ji restart
 
Back
Top Bottom