Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,768
Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya ๐๐ฑ
Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls.
๐จ Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane cleaner, modern na less cluttered hivyo iweze kupendezesha machoni kwa watu โ๏ธ. Unasemaje kuhusu mabadiliko haya tuachie maoni yako?