anayejua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama hakuna anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu, kama kweli alikuwapo, inakuwaje Desemba 25 iwe siku ya kuzaliwa kwake?

    Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa Mungu aka Mkombozi aka Kristo au mpakwa mafuta aka Neno aka Mwana kati ya watatu waundao Mung nk. Kama...
  2. Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  3. Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  4. E

    Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
  5. Kwa anayejua ukweli wa dokta msigwa anayetibu ukimwi

    Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na...
  6. Simulizi za waungwana: Aliyekubeba ndo anayejua uzito wako

    UZITO Licha ya changamoto zilizowakabili, wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu. Miaka kadhaa mbele juhudi zao zikazaa matunda. Chuwa akahitimu masomo na kupata kazi nzuri. Baada ya kupata kazi,Chuwa...
  7. R

    Msaada: Anayejua App au platform ya kufasiri audio to audio

    Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.
  8. N

    Msaada: Anayejua Kampuni ya Bima ya Afya yenye 'PACKAGE' Nzuri

    Wakurungwa, Je, unafahamu kampuni ya Bima ya Afya (Health Insurance) yenye Package nzuri hapa Tanzania. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  9. Kwa anayejua bambo na mtanga wanapatikana wapi hapo tabata aniambie

    Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli nikutane na bambo nimnunulie bia najua kwa sasa maskani zao nahisi ni tabata bima au magengeni ila...
  10. Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
  11. M

    Msaada kwa anayejua watengenezaji au wasambazaji wa mfuko wa AM

  12. Mradi wa NHC wa Safari City Arusha umetelekezwa?

    Vipi kuhusu mradi wa NHC wa safaricity arusha umetelekezwa? Anayejua muendelezo tafadhali atuhabarishe
  13. K

    Anayejua sheria za ubebaji mimba (surrogacy contract/laws) Tanzania

    Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni...
  14. C

    Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

    Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
  15. D

    Kuna anayejua mbadara wa voice Q kwa ajli ya windows

    Kuna mtu yeyote ambaye anajua software yoyote ambayo inaweza kufanya kazi kama voice Q inayorun kwenye windoes na inatoa features za dubbing kama voice Q
  16. Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

    Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
  17. Msaada wa haraka: Anayejua jina la wimbo huu aje

    Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
  18. Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie

    Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie Mara nyingi tunaambiwa mengi kuhusu Mwinyi lakini hatujui mengi kuhusu baba yake Na je ni nani aliyemuibua winyi kwenye siasa?
  19. Anayejua mazingira ya kazi za security OMAN na DUBAI

    Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
  20. Anayejua ubora wa smartphone za Kingkong

    Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…