anatafutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anatafutwa mpenzi, Mwanza

    Seran Lamomy Fake P nakwede97 leo dada kazi kwenu changamkieni ndoa.
  2. Anatafutwa mtu wa kazi

    Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha kupanga Binti anayehitajika anatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 24, asiwe mcharuko, awe na...
  3. Natafuta mwandishi wa vitabu

    Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri
  4. W

    Mke 35-45 Anatafutwa

    Umri wangu ni Mika 45, mfanyakazi+ mkulima, natafuta mke mkristo. Mcha MUNGU, mwenye bidii
  5. Amepotea, anatafutwa

    Anaitwa Nashir Adam ana umri wa miaka 29 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam, familia inamtafuta baada ya kutoonekana wala kupatikana kwenye simu tangu tarehe 28 ya mwezi June. Familia imejitahidi kadri ya uwezo kumtafuta bila mafanikio, tunaomba kwa teyote atakayefanikiwa kumuona popote apige...
  6. Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  7. N

    Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  8. Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na...
  9. K

    Mnakumbuka Samia akiwa anatafutwa na viongozi wa kila nchi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

    Sio china, India, ufaransa, US …. Sasa wameona bora Ruto ! Mama sababu za kuchuja ni siasa zake ambazo ni za uongo uongo. Aliwahi kuwapa ahadi wakina kamala na Biden 🤮, China 🤮, India🤮, 4R 🤮, chaguzi huru🤮, rushwa 🤮, mikataba ya uwazi🤮, Kauza badari🤮, Kia🤮, misitu🤮, account ya Abdul Dubai...
  10. Anatafutwa mke umri 20-32

    Huu ujumbe umetoka kwa ndugu yangu . Sifa zake Umri 35 Kazi Mwalimu wa secondary Kazi anaendesha Biashara pia Ana Kazi mbili Biashara na ameajiriwa government Kama Mwalimu . Elimu degree BAED Kabila muhaya Sifa za mke Umri 20-32 Kama Ana mtoto pia inaruhusiwa Elimu awe amefika form four...
  11. P

    Anatafutwa mwanamke 35-45 years

    Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
  12. Mtoto Regnaldo Samweli Msuya (16) anatafutwa

    MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo. Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam. Anasoma shule ya secondary makumbusho kidato cha tatu. Kwa yoyote atakaye muona tunaomba atoe taarifa...
  13. J

    Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  14. R

    Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  15. N

    Anatafutwa Mwalimu wa Muda wa Kumuandaa mtoto anayeingia darasa la pili mwakani

    Katika kipindi hiki cha likizo, anatafutwa mwalimu anayefundisha darasa la pili (English Medium). Kwa mawasiliano zaidi, piga simu 0682405461
  16. Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

    Jamaani Nani ni kamanda wa kutoa love bite kwa wanawake? Kuna mtu anauliza love bite ni nini? Inapatikanaje? Unaitwa wewe mtaalamu
  17. Anatafutwa mwanamke wa kuolewa

    Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo, Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA. Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker, akauntanti, auditor, maketia, afisa habari, mchumi, mwanasheria, afisa ugavi, mkutubi, police...
  18. N

    Bibi amepotea Mindu, Morogoro. anatafutwa na ndugu zake

    Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake. Alikuwa amevaa gauni la bluu...
  19. Msimamizi wa shamba anatafutwa

    shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi. makazi ni shambani hapo hapo. shamba liko kigoma wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30. kwa mwenye uzoefu wa usimamizi mashamba makubwa akiwa na taaluma ya kilimo na mifugo au Agro...
  20. Nafasi ya Kazi: Radiographer anatafutwa

    Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka. Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…