anapaswa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    "Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe"-Prophet Bob Marley

    "Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe, Na katika uamuzi huu hakuna upendeleo. Kwa hivyo mkono mikononi, kwa mikono, tutapambana na mapambano haya madogo, Kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee tunaweza kushinda shida yetu ndogo "-Prophet Bob Marley
  2. Y

    Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
  3. Kibenje KK

    Kila Mfanyabiashara aliye Makini na maono ya Biashara yake Anapaswa na ni Lazima kuwa na mambo haya

    Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo: TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi. Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
  4. MwananchiOG

    Aliyeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kufunguliwa anapaswa kuchunguzwa. Uwanja bado haufai

    Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
  5. I

    Mambo 10 Muhimu kila mtumiaji wa kompyuta anapaswa kujua

    Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu—iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili kuhakikisha kompyuta yako inafanya kazi vizuri kwa muda mrefu na unakuwa salama mtandaoni, kuna mambo muhimu...
  6. Beira Boy

    Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  7. Yoda

    Rais William Ruto anapaswa kujifunza kwa Mwakyembe

    Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
  8. Poppy Hatonn

    IGP anapaswa kujitathmini. Utekaji wa raia umezidi.

    Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi. Abdul Nondo ametekwa juzi. Watu wanauliza maswali hawapati majibu. Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza Bucha,Daudi,I forget his name,ameuawa, mwili wake umetupwa Bagamoyo. Familia yake ikasema Polisi imewazuia...
  9. mike2k

    Kwanini Mbowe anapaswa kupumzikka?

    Mfumo wa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kueleweka kwa kuangalia madhara ya kukaa katika cheo cha juu cha chama muda mrefu: Kama Mbowe angaliachia madaraka baada ya muhula wake wa kwanza, angekumbukwa kama mtu aliye na maono ambaye kazi yake...
  10. GoldDhahabu

    Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

    Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha! Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
  11. chinatown

    HIVI MAMA NDIYO ANAPASWA KUTOA ELIMU YA AFYA>?????

    watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi, kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
  12. The Father of All

    Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  13. ERTUGRUL BEY

    Mambo sita ambayo mwanaume yeyote anapaswa kuyasoma

    Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako katika maisha. Jambo la pili, jifanye hauna uwezo wa kupata mkate wako wa kila siku mpaka pale...
  14. U

    Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  15. Kinjekitile Jr

    Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda...
  16. GoldDhahabu

    Chalamila anajitahidi lakini anapaswa kuongeza ustahimilivu wa kusikiliza

    1. Albert Chalamila ni Mwalimu kitaaluma, anafahamu kuwa kusikiliza ni mojawapo ya communication skills muhimu sana. 2. Mwananchi aliyelalamika watoto kubakwa anafahamu kituo cha Polisi kilipo. Aliamua kulalamika kwake badala ya Polisi kwa kuwa ana imani naye zaidi kuliko Polisi. 3. Kama...
  17. Msanii

    Mke anapaswa kujali uwepo wa mumewe bila hivyo mwanaume kimbia usigeuke nyuma

    Mwanamke aliye kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na bado ana vigezo hivi ama mojawapo ya hivi Dharau Majibu ya hovyo Kiburi Muongo Mgomvi mchawi Infidel Hakikisha unakimbia, achana naye maana hakuna anayeweza kumbadilisha zaidi ya yeye mwenyewe kuamua kubadilika. Hakuna lugha nyepesi ninayoweza...
  18. U

    Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  19. Pascal Mayalla

    Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  20. Tsh

    Simba kafieni uwanjani ila Mwarabu imetosha, anapaswa afungwe

    Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana. "NENDENI KAPAMBANENI KUFA" Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake. Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
Back
Top Bottom