Mwalimu wa Chekechea anahitajika.

Namche Bazar

Senior Member
Apr 8, 2019
105
152
Habari za leo?
Mwalimu wa Chekechea ya English Medium (shule ya awali) anahitajika kwenye shule iliyopo Kilapula,Tanga.
Anahitajika mwalimu mwenye taaluma ya ualimu na mzoefu na watoto.

Mwenye sifa tajwa tuwasiliane PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom