Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika
1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni
2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu
3.Awe na leseni
4.Awe anafanya bolt
5.Awe mchapakazi na mwaminifu
Mawasiliano:0757208745/0617984818
Habari ya asubuhi wadau.
Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
Habari. Natafuta kinyozi wa saluni ya kiume ambaye atakua pia msimamizi iliyopo Kigamboni Geza ambaye tutalipana kwa mtindo wa hesabu. Aliye tayari na mwaminifu anicheki inbox.
Hey Wana JF
Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering.
Awe na weledi katika masuala haya.
Blogs,
Apps,
Logos designs,
Wallpapers,
Photography,
Broadcasting Network.
Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi.
.....
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea.
Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea
Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa)
Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini)
Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..
Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search.
Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi..
Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant...
Habari wakuu,
Nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam
Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana.
Number ya mawasiliano - 0767836872.
Asante.
Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC.
Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo:
1...
Shule: Prime MIkocheni.
Idadi: Walimu Watatu.
Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education).
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Namna ya Kutuma:
Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.