Kuna member mmoja (Mshangazi) niliona bandiko lake anahitaji mume mwenye umri kama wako, wasiliana naye.Mimi ni Me 40yrs, nahitaji mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano awe anapatikana Rukwa Sumbawanga. Karibu PM
Upo jiraniKila la heri mkuu
Nipo mkuu, habari yakoUpo jirani
Njema tu mkuuNipo mkuu, habari yako
Mambo yanaendajeNjema tu mkuu
Why uniite fala?Unatafta mwanamke alafu unaishi sumbawanga fala nn