Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 518
- 3,193
Habari zenu Wakuu, Accountant mwenye CPA anahitajika, Usahili ni Jumatatu tar 11 August 2025.
Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
Ahsante kwa mention dear Eve, nitahudhuria usaili 🥰
Mkuu CPA uliisotea kumbe.Ahsante kwa mention dear Eve, nitahudhuria usaili 🥰
Si ulioata kazi tra?Ahsante kwa mention dear Eve, nitahudhuria usaili 🥰
Pambana mkuu, hadi kieleweke💪Mkuu CPA uliisotea kumbe.
Baada ya miaka 9 kumaliza chuo na kukimbia shamba now nimepata wazo LA kurud shule na kuisaka CPA
Hapana sikupata mkuuSi ulioata kazi tra?
Wa mikoani haituhusu? au😭Habari zenu Wakuu, Accountant mwenye CPA anahitajika, Usahili ni Jumatatu tar 11 August 2025.
Tuma CV yako hrfbde@gmail.com
Mnataka kuwafanya nini hao wa kike?Sisi ofisini tunahitaji hata asiye na CPA, nichekini PM hasa wahasibu wa kike.