benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Rais Samia Suluhu amempongeza Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
“Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu.
Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya miaka mingi ya kazi, weledi na kujituma katika utumishi wa umma, mfano bora kwa watoto wa kike katika nchi yetu, Afrika na hata nje ya mipaka ya bara letu,” ameandika Rais Samia.