amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Virusi vya HPV: Unaweza kupata virusi hivyo kupitia ngono salama

    Maelezo ya picha,"Nilidhani mpenzi wangu anaenda nje nilipouguzwa HPV" Utafiti mpya umebaini kuwa viwango vya juu vya ukosefu wa kujua pamoja na fedheha inayohusishwa na virusi vinavyosababisha magonjwa ya zinaa yaani HPV, huathiri 80% ya watu. Serikali ya Uingereza imezindua vipimo vya HPV...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu

    Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo yanaweza kuleta tishio la afya ya jamii. 1. Neisseria meningitides Neisseria meningitidis, pia hufahamika kama meningococcus...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinachosababisha shida ya mkojo kwa wanaume na jinsi ya kuitibu

    Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya afya inayolenga kudumisha hali nzuri ya afya ya uzazi imekuwa maarufu. Lakini suala hili sana sana linahusu afya ya wanawake wakati wa uja uzito, baada ya kujifungua na kuzeeka. Ukweli ni kwamba wanaume pia wanahitaji kuyapatia umuhimu masuala...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha

    Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi nchini Nigeria katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria wakati wa maandamano ya kulalamikia gharama ya juu ya maisha.Baadhi ya waandamanaji walijeruhiwa...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kumuua Mkuu wa Kijeshi wa Hamas mwezi Julai

    Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu. --- Israel's military says it has confirmed that Hamas's military chief Mohammed Deif was killed in an Israeli air strike...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano

    Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano Maelezo ya picha,Waandamanaji wanapinga gharama ya juu ya maisha na kile wanachosema ni "utawala mbaya" Mamilioni ya wakaazi kaskazini mwa Nigeria wanakabiliwa na amri ya kutotoka nje ya saa 24 huku kukiwa na...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Bomu lililotegwa Tehran miezi miwili iliyopita lilimuua Haniyeh

    Bomu lililotegwa Tehran miezi miwili iliyopita” lilimuua Haniyeh - New York Times Chanzo cha picha,AFP Maelezo ya picha, Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, akiwasili kushiriki katika hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian katika bunge la Tehran Julai 30, Saa...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuripoti Kisa cha kwanza cha virusi vya Homa ya Nyani 'Mpox'

    Wizara ya Afya imethibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa virusi vya 'Mpox' mpakani mwa Taita Taveta na Tanzania baada ya kugunduliwa kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa akisafiri kutoka Uganda kuelekea Rwanda Mamlaka hiyo imetoa tahadhari kwa raia wa Kenya Julai 31, 2024 kujilinda dhidi ya mlipuko...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi, bali kuna njia nyingine zikiwemo alizosema za haramu. Akizungumza kupitia video aliyorekodi, leo...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu

    Huyo mtoto ameokotwa Mozambique (Msumbiji) akiwa na Mmalawi anapiga kelele kwamba huyo mtu aliyemchukua hamfahamu. Mtoto anaongea kiswahili pure na anasema kwao Mbeya but haijulikani ni Mbeya sehemu gani tumeombwa ku-share kwenye magroup kama kuna uwezekano wa kumpata mhusika wa mtoto.
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kutupeleka Rwanda hakuwezi kutuzuia kufika Ulaya

    Kutupeleka Rwanda haukutuzuia kufika Ulaya Maelezo ya picha,Bahabelom Mengesha, ambaye kwa sasa anaishi Zurich, alipelekwa Rwanda na Israel mwaka 2014 Huku Uingereza ikiendelea na mpango wake wa kuwatuma waombaji wa uhamiaji nchini Rwanda, BBC imesikia Ushahidi kwamba, mwaka 2017, wakimbizi...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda

    Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda Rwanda imesema haitakiwi kuirudishia Uingereza pesa baada ya makubaliano ya mamilioni ya pauni ya wahamiaji kati ya nchi hizo mbili kufutiliwa mbali. Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kiongozi wa Chama cha Leba Keir Starmer alitangaza...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Utapeli Mpya umeingia Mjini Matapeli Wanajifanya TCRA Muwe Waangalifu sana Kwenye Simu zenu wanakuibieni Pesa zenu

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Historia ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania: Kutoka Special Branch Hadi TISS

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania “90 killed and 300 injured” in Israeli strike on Gaza “humanitarian area” | BBC News

    https://www.youtube.com/watch?v=NpffXXQvnes&ab_channel=BBCNews
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kibiblia ndoa ni agano Ukimkuta mwanamke hana bikra sio wa kwako

  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

    Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa. Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu ni Sumu Ya Panya Ameponyoka huyu

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Raia Wa Oman Ana Kitambulisho Cha Nida Mpiga Kura na Nyaraka zingine Akamatwa na Uhamiaji

Back
Top Bottom