alipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Unajua alipo huyu Sylvia Bahame?

    Nampenda sana Bahame. Nime mfollow sana maeneo mengi. Ana mwanae nahisi ama anasoma Kusini au wanaishi wote somewhere in the South. Dunia ina balance pale kila mmoja akabalansisha mambo...langu mie I love you Sylvia Bahame.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukiwa mahali alipo Rais Magufuli unajisikia amani sana!

    Nipo hapa Ikulu kwenye mkutano wetu sisi wafanyabiashara na mkuu wa nchi, kwa kweli najisikia amani sana. Nimewahi kufika mahali hapa katika awamu zilizopita lakini safari hii najisikia amani zaidi kuwepo mahali hapa. Ule wasiwasi na mashaka havipo kabisa yaani najihisi nipo mahali salama...
Back
Top Bottom