Je alama za Taifa zinatofautiana thamani?

Je alama za Taifa zinatofautiana thamani?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,115
Reaction score
4,228
Kuna mwenge wa uhuru na bendera ya taifa, viwili hivi naona kama vina thamani sana kuliko alama nyingine za Taifa. Mwenge ukipitishwa askari wenye sare wote watapiga salute, kadhalika wakati wa kushusha na kupandisha bendera ya Taifa

Mimi kajamba nani nikipita na mifuko yangu ya noti hata iwe transparent askari wanaziona noti zilee... hawapigi salute ng'o!🤣 Tukienda kwenye Coat Of Arms kuna alama za Taifa ndani yake zaidi ya moja lakini alama hii haina umaarufu kama baadhi ya alama nyingine

Civics nilikuwa nakariri tu form one hebu nielimisheni
 
Back
Top Bottom