alama

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  2. amarina

    JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

    Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ipo siku nukuu hii itatumika kama alama ya Ukombozi wa kweli kwa Watanzania! Itatumika kama alama kuu ya Uzalendo kwa Taifa!

    I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri, ukombozi na uzalendo kwa Watanzania. Kwenye vyombo vya dola wakiiona Watasema alikuwepo huyu mtu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea yeyote kama unanona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe

    Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki. someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

    Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
  9. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Wadudu ni alama ya vijana wa Arusha

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Short and clear Vijana wa Arusha wana usela mavi sana , ni limbukeni mno. Kibali kataa, ukweli ndio huo
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  11. Comred Mbwana Allyamtu

    JamiiForums Tanzania Binadamu walioacha alama kubwa duniani

    BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA) Saturday-03/12/2022 Marangu Kilimanjaro Tanzania Hii list hapa chini ni ya viongozi ambao wameacha "Athari" Ulimwenguni, athari yao imebaki kama chachu hapa...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Karne. Kipapiro kinatoa mvuke na kuacha alama

    Sijajua hasa siri ni nini. Huyu dada mchana wa jana tumekaa sehemu mi nakula zangu ugali nyama choma nashushia na machozi ya sheta chupa moja. Viti ni virefu vya mbao amekaa meza moja nami kiti cha pembeni. Akainuka kwenda kunawa. Mimi sijui why nikadondoshea macho pale kitini. Nikaona kama...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wimbo wa Usiogope utambulike kama wimbo rasmi wa Chadema nyakati hizi za Kupigania Ukombozi

    John Mnyika Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana. Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
  14. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoure alifanya vizuri Sana darasani na kufaulu na alama za juu

    Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana. Walimu Na wanafunzi waliosoma naye wanasema ilikuwa mkimya Na akili quiet and intelligent. Baada ya kumaliza...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Viporo kama vyote, Kama mkitoboa bila kudondosha alama basi walau nitawaheshimu na kuwaona mpo serious

    27/04 - Bondeni 02/05 - Mashujaa 05/05 - JKT 08/05 - Pamba 11/05 - KMC 14/05 - Singida BS 16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀) 17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀) Na bado mnaitaka Derby?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tukiwa Hai,tutende mema na kwa Haki ili Tuache Alama NJEMA!

    Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari sana juu ya uhai na hatima yetu kama Binadamu,uwe muumini wa Dini au huna Imani! Mimi ni muumini wa uwepo wa Mungu na nitanukuu maandiko kama ninavyoamini. Nimevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda,8baada ya Hayonimwekewa taji ya...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama

    Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama Mi niko mbagala
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga someni alama za wakati, hatutaki busara na uchawa

    Tuko tayari kumvumilia Yanga ishushwa daraja kwa kanuni kuliko kuvumilia kurudia mechi kwakutumia busara. Hali hii mwisho wake lini? Kama ikithibitika kama Yanga imewazuia simba kuingia uwanjani na Kama adhabu ya kuzuia timu kuingia uwanjani ni kushushwa daraja ni bora tushushwe. Ni heri ya...
Back
Top Bottom