Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa.
Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha...
Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani
Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani?
Na anataka serikali imalizane nao vipi?
Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli?
Kwanini aite Watanganyika kenge?
Anataka serikali...
Tukizungumzia hasa mitoko ya dating.
Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu.
Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating?
Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli...
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Mpumbavu ndio atakae kuwa controlled na applications za simu.
Mpumbavu ndie atakae weka maisha yake rehani kwa ajili ya umaarufu na kushobokewa kwenye mitandao.
Mitandao imelalamikiwa sana, maybe at some liitle degreee ina athiri, maybe, lakini nafikiri mitandao imetoa nafasi ya wapumbavu...
Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu.
Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
Salaam, Shalom!!
DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,
Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,
Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini?
Au wana dini ila Hawajafunga?
Nauliza tena...
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya...
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.
Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)
Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais...
Salaam,Shalom!!
Zamani, mwalimu wa Shule ya msingi, alikuwa na uwezo wa kuchukua fomu na kugombea ubunge na akashinda, sasa hivi akijaribu, atakutana na kikumbo Cha tajiri au .toto wa kiongozi mkubwa serikalini na kutupwa mbali.
Kuwa tajiri Kwa halali Si DHAMBI, Hilo liwekwe wazi. Na mada...
Nchimbi atakuwa kiboko ya machawa na wanaccm kama akina NAPE na Makamba pamoja na kinana maana hao ni ndumilakuwili hawana msimamo wakengeefu na wenye kugeuka geuka
Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa.
Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani?
Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.
Tafakuri Jadidi:
Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani?
- Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi?
Jibu:
Ndugu zangu,
Kuna wakati Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, alipata kuongea na Wazee wa Dar es Salaam.
Kwenye juzuu ya kwanza kati ya tatu ya kitabu ' The Making Of A Philosopher...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023
Saa 4:00 Asubuhi...
akinanani
amevaa
barakoa
bernard membe
group
hali
hali ya hewa
hata
hewa
ibada
kabwe
lazima
membe
msamaha
msiba
musiba
nani
rais
rais samia
samia
speech
zitto
zitto kabwe
Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine
Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana.
1. CCM wote wanalalamika.
2. Rais analalamika.
3. Mawaziri wanalalamika.
4. Wananchi wanalalamika.
5. Wabunge wote wanalalamika.
Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.