akilini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infinite_Kiumeni

    Kama unaogopa kumfata mwanamke kuongea naye, basi jiwekee haya ma 5 akilini ili kuondoa woga

    Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
  2. Infinite_Kiumeni

    Badili mtazamo wako kuwa hivi ili usipate shida kuhusu wanawake

    Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni jukumu lako, hivyo kuanzia sasa badili mtazamo juu ya kuwa na mwanamke. Badili kutoka, Nawezaje kumpata...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI. Mhusika Mungu...
  4. C

    Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  5. Tomaa Mireni

    Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo. Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona...
  6. Ahyan

    Haiingii akilini kabisa kwamba Yanga alishindwa fitina pale kwa Mkapa

    Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje... Ila naamini kuna wahaini ambao kwa hulka zao za kichawi za kutopenda maendeleo ya wengine waliamua kuwasanua ama wao wenyewe kutibua...
  7. NetMaster

    Msaidizi wa Masanja alijiua kwa kukataliwa ombi baada ya kujaribu kumtongoza mke wa bosi kwenye simu, hii inaingia akilini?

    Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi kwenda kwenye namba ya mke wa Masanja zilizokuwa zinaonesha msaidizi alikuwa anamtongoza mke wa bosi...
  8. S

    Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  9. Nyankurungu2020

    Haiingii akilini Serikali kupendekeza kuanzisha tozo ya ving'amuzi wakati kuna mapato yanapotea eneo la uvuvi wa bahari kuu. Huu ni uonevu usiofaa

    Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya ving'amuzi. Yaani unawakamua wananchi ambao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa. Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi...
  10. Fbn

    Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

    Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa! Umaarufu wako Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe! Muonekano wako Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye...
Back
Top Bottom