akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  2. PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  3. Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

    GT Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa. Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni...
  4. Mtu mwenye akili ni yupi?

    https://www.facebook.com/groups/578569495998293/posts/1881772182344678/ Mit 8:13 Kumcha BWANA ni kuchukia uovu, Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia. Mit 1:7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu Zab 53:2-3 Toka...
  5. Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  6. Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  7. The End of the End of CHADEMA on planet Earth - Ngoma ilivuma sasa inapasuka (Watu wote wenye akili wanajua hili)

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao. Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na...
  8. K

    Nina shida na Mfumo Wangu wa Fahamu au Ugonjwa wa Akili

    Habari zenu wakuu, samahani, Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi. Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili...
  9. M

    GE2025 Huko CCM hakuna mwenye akili kidogo hata mmoja?

    Hivi huko CCM hakuna mwenye akili hata kidogo! Hata mmoja anayeweza kushauri mambo ya msingi na kuacha kufanya ujinga ambao unaliangamiza Taifa? Ndiyo, nawauliza nyie sababu Hatuna Serikali nchi imeshikwa na CCM pamoja na vyombo vyake vya dola ambavyo navyo vinatia shaka iwapo wapo watu wenye...
  10. N

    Mafwele ana akili sana. Kavujisha audio mwenyewe ili wafanyakazi wa serikali waogope

    Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo? 1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29 2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
  11. Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

    Mzuka Wana Jamvi Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo Utangazaji MillardAyo Muimbaji DullAyo Kwenye Bible ZebedAyo Kabila WakaldAyo Mchezaji mpira AdebAyo Mfanya biashara ChivAyo Je una maoni yapi ? Uzi teyari
  12. Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  13. Muhamad aliona wanawake wana upungufu wa akili

    Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili. Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Shahādāt" (Kitabu cha Mashahidi): Tafsiri: Anasema Abu Sa’id al-Khudri (RA): Mtume ﷺ...
  14. Vijana Wamegeuzwa Watumwa wa Mfumo Uliokufa – Ni Wakati wa Kuishtaki Akili ya Taifa!

    Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
  15. Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  16. Hivi, viongozi wanawatoa wananchi akili? Wanajitoa akili au wao ndio hawana akili?

    Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ? Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi kuneemeka na watoto wao, wakitumiana miamala ya ma bilioni. But this is the end.
  17. W

    Kuna wazee bado wana akili na uwezo wa kuchangua mambo. Hawa ndo wanahitajika kwenye nchi hii

    Mzee kauliza swali zuri sana sio mnawaambia watu mtoke mkatiki oktoba, hata tusipotiki mmeshapita maana hatujui mnashindana na nani.
  18. Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  19. Hizi ndizo kazi ambazo akili mnemba (AI) inaenda kuzifanya na isizoweza kuzifanya

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa. Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI). Ukiangalia kwa...
  20. Siasa Mamboleo: Macho yanapojaribu Kudanganya Akili (Ufahamu)

    Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya..... https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia.... Wakati hatuna ambulance za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…