a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,426
- 3,912
Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa
Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao timamu ila wamejigeuza ma ZEZETA ama viziwi au WAMEJITIA UPOFU wa AKILI na UKIZIWI.