Waenda guest wana changamoto ya afya ya akili

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
548
Reaction score
1,085
Miongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni

1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji.

2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae.

3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.

4.Kujifutia Taulo Usoni Ambalo Wengine Wamejifutia Kwenye Makalio.
 
Mkuu wengine mmeamua kulijenga taifa na hizi hoja zako NNE.

Hongeraa sana ndugu mtakatifu
 
Sitetei zinaa wala uasherati ila sababu zako nyepesi sana.

Mashuka na mataulo si yana fuliwa?
Wewe kwako shida ni hizo nguo, huyo unaekutana nae uko peke yako?
 
Miongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni

1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji.

2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae.

3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.

4.Kujifutia Taulo Usoni Ambalo Wengine Wamejifutia Kwenye Makalio.
Si kila mtu anayekwenda guest ana changamoto ya afya ya akili. 😄 Hizi ni tabia unazoweza kuziona kwa mtu, lakini haziwezi peke yake kuwa kipimo cha kumtambua mwenye tatizo la afya ya akili. Afya ya akili inahitaji kuangaliwa kwa dalili, muda, athari kwenye maisha na tathmini ya mtaalamu. Hapo kwenye “taulo la usoni” nimecheka, lakini hoja yenyewe inahitaji usahihi kidogo. 😂
 
Usitudanganye. Upwiru sio ugonjwa wa akili. Mtu anayekwenda guest house ni kwa sababu ya upwiru tu umemkaba na hana pori la kwenda kujificha au hana uhuru wa kwenda nyumbani anakolala.
 
Naomba tuheshimiane bwana mdogo hapo kwenye namba 1!!!!! Wengine huwa tunaenda gest na wake zetu kama namna ya kubadilisha mazingira ya kudinyana na kutafuta wadogo zako maana hatuna Hela za hotelini
 
Kumradhi Mkuu Sikujua😀ila Jitahidi wakati Mwingine Muendee Na Mashuka na Taulo Yenu.
 
Back
Top Bottom