Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta.
Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli
Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
Tarehe rasmi ya mchezo ilikuwa 8, Busara zikatumika kumkimbia Pacome, Sasa mnalazimisha Busara isitumike kumpatia Yanga haki yake na kumlazimisha kucheza hiyo June 😀 Mna akili timamu kweli? Kateni hizo alama shusheni hata Ligi ya Mkoa HATUCHEZI!
Semguto, Jaribu tena na Karia watacheza 🤝
Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy.
Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server kuwa wata generate numba zenu hakuna?.
Watu wengi wanapoteza vitambulisho,kuharibika je ...
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa.
Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
Habari zenu wanajukwaa wenzangu,
Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious professional.
Leo nimeona nilete mjadala wa kina kuhusu magonjwa hatari ambayo huathiri mfumo wa mwili...
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.
Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.
Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)
kwa sababu ya nguvu ya...
Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka...
Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu
Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi...
Amani iwe nanyi!
Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate)
Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
Mbona sijajenga?
Mbona sijapata kipato cha uhakika?
Mbona sina gari?
Mbona sitengenezi faida ya uhakika?
Mbona sijaoa/sijaolewa?
Mbona sina mtoto?
Mbona sina akiba?
Mbona nachelewa?
Mbona classmates wana nipita?
Mbona sii-provide familia vya kutosha?
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)
Mziki ni pale Jama amekuja...
"Nawaonea wivu kwasababu sisi tulikuwa tunatuma habari kwa simu. Baadaye zikaja teknolojia nyingine. Ninyi mmepiga hatua lakini hata nyie msilemazwe na kufubaa na teknolojia, hata hii akili mnemba imeundwa na binadamu na inachukua maudhui kutoka kwa watu.
Nawashukuru wadau wote na mliotoka nje...
Fundi samico nakueleza haya uyatambue.
Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu.
Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo refu utaona eneo pekee la...
Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.