Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika.
Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it.
Hata kama anaongea vitu vyenye...
"Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo — lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili.
Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea...
Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti, Virobiti vidogo vya kimitambo vinavyosafiri kupitia damu bila hitaji la upasuaji.
Kwa mujibu wa...
Wakuna race iliyoua waafrica wengi toka dunia iumbwe zaidi ya wazungu, wametufanyia Kila hila kila nyanyaso na Kila ubaya lkn ukikaa vijiwe vya kahawa unakuta ngozi nyani/Tako zinakaa zinaionea huruma Ukraine eti urusi anaua watu!!! Lkn hapohapo anashangilia Israel anavoua watu Gaza.
Sasa mm...
Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo.
Tazama video na Picha hapo chini...
Tangu bunge lianze kuonesha vikao vyake live kuna baadhi ya wabunge wameonekana hawana akili kabisa za kufikiria na hata kuwasilisha hoja za wananchi wao bungeni.
Upimaji wa ujinga uangaliwe kuanzia
1. Kutoa hoja
2. Kutetea mikataba au hoja zenye maslahi ya kitaifa
3. Kutetea wananchi wake na...
Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana...
Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani?
Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu.
Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
Hii code nimepewa na watu wenye elimu za kujua ulimwengu.
Ndio maana kwa waislamu unapotaka kuingia kuswali au kuzikwa inabidi kuwa msafi.
Ukitaka kujua mapungufu ya akili angalia vyoo vilivyo ndio utajua hawa watu ndio akili zao.
Hata kama kutakuwa na vyoo vizuri kama kutakosa usafi ni yale...
Matumizi ya akili mnemba yaani artificial intelligence (AI) yakiendelea kukua kwa kasi binafsi nadhani ni wakati sahihi mtandao wa jamii forum kuwa na AI yake kama ilivyo kwa grok ya X(zamani twitter), Gemini (google) Microsoft copilot na chatGPT
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.