Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Asalam Alyekum..
Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia
TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa
Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki
Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
Umeua maelfu ya Wananchi wako.
Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie.
Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi.
Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
GT
Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa.
Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni...
https://www.facebook.com/groups/578569495998293/posts/1881772182344678/
Mit 8:13
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu, Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
Mit 1:7
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu
Zab 53:2-3
Toka...
https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v
Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV)
Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao.
Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na...
Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu.
Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
Hivi huko CCM hakuna mwenye akili hata kidogo! Hata mmoja anayeweza kushauri mambo ya msingi na kuacha kufanya ujinga ambao unaliangamiza Taifa?
Ndiyo, nawauliza nyie sababu Hatuna Serikali nchi imeshikwa na CCM pamoja na vyombo vyake vya dola ambavyo navyo vinatia shaka iwapo wapo watu wenye...
Nimesikiliza kwa ukaribu sana ile audio iliyovuja nimejiuliza yafuatayo?
1. Faida au hasara ya kuvuja ni nini ? Kwanza watu wakijua kuwa hata madoctor na wanajeshi wameshikwa itawafanya wengine wote kuwa waoga na wasijiunge na movement ya tarehe 29
2. Ingetakiwa isivuje wangeambiwa waweke cm...
Mzuka Wana Jamvi
Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo
Utangazaji MillardAyo
Muimbaji DullAyo
Kwenye Bible ZebedAyo
Kabila WakaldAyo
Mchezaji mpira AdebAyo
Mfanya biashara ChivAyo
Je una maoni yapi ?
Uzi teyari
Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili.
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Shahādāt" (Kitabu cha Mashahidi):
Tafsiri:
Anasema Abu Sa’id al-Khudri (RA): Mtume ﷺ...
Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ?
Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi kuneemeka na watoto wao, wakitumiana miamala ya ma bilioni.
But this is the end.
https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19
"Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ".
Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa.
Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI).
Ukiangalia kwa...
Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya.....
https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
Wakati hatuna ambulance za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.