Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,710
- 49,727
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA.
Amesahau kuwa kitendo kilichofanywa na awamu ya 5 juu ya Lissu (jaribio la kumuua kwa 100%) ni kibaya zaidi ya kitendo hichi cha kumweka mahabusu huku kesi ikiendelea.
Amesahau polepole kwa miaka 6 alikuwa akifanya kampeni huku na kule pamoja na Magufuli huku wao wenyewe wakipiga marufuku mikutano ya nje. Baadaye mpaka mikutano ya ndani CHADEMA walitumiwa polisi wawafanyie brutally.
Sisemi kuwa serikali ya Samia iko sawa haina madoa. Hapana.
Kuna mauchafu mengi sana awamu ya Samia lakini kidemokrasia kipindi cha Magufuli na huyo Polepole demokrasia waliitia mfukoni bila aibu.
Polepole tulia .