akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

    Kila mara wananchi tulipohoji kuruhusiwa Kwa wafanyabiashara Kutoka nje ya nchi kuingia nchini kununua mazao ya vyakula mashambani kwa pesa za kitanzania, tulijibiwa kuwa " Tusimpangie MKULIMA wapi auze mazao yake". Pesa za Umma zimetumika kuagiza mbolea na pembejeo za KILIMO nje ya nchi Kwa...
  2. Mbunge Cherehani: Wekeni Akiba ya chakula

    Mbunge Emmanuel Cherehani ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga amesherehekea Siku Kuu ya Mei Mosi na Wana-Ushetu huku akiwasihi wananchi waweke akiba ya Chakula kutokana na hali ya hewa kutokuwa rafiki.
  3. Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

    Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
  4. M

    Akiba ya Dhahabu G.O.T

    Yanaoendelea ndani ya Dunia yetu Kwa nyakati hizi za sasa Hapo nyuma kidogo kulikuwa na COVID-19,Kwa Sasa tuna vita vya Ukraine. Haya matukio Kwa taarifa zinazotolewa inaonesha ni Kwa nanma Gani hakuna kitu Cha bahati mbaya. Sisi watanzania tunacho Cha kujifunza na kuchukua hatua...
  5. M

    Picha: Askari wa akiba akionyesha ukakamavu.

  6. Ally Kamwe, waliocheza na TP Mazembe sio wachezaji wa akiba, omba radhi

    Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi. Ni kweli waliocheza ni...
  7. Benki ya Akiba wazindua Waridi Akaunti kwa wanawake wajasiriamali

    Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI AKAUNTI " .Kulia wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora...
  8. T

    Mkopaji aishtaki Akiba Commercial Bank (ACB) kwa upotevu wa hati ya nyumba

    Benki ya biashara ya Akiba (ACB) imeburuzwa mahakamani na mteja wake, Aisha Abubakar Hassan baada ya hati yake ya nyumba aliyoiweka dhamana ya mkopo kupotea. Kwa mujibu wa hati ya madai aliyofungua Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mfanyabiashara huyo wa vipodozi alichukua mkopo wa Sh30...
  9. Makolo wekeni akiba ya maneno

    Baada ya mechi ya raja casablanca vs vipers kumalizika nimeona makolo wengi wakijitamba kwamba vipers ni wabovu na ndio timu ambayo wanatakiwa kuchukua points 6. Ukweli ni kwamba vipers sio wabovu kwa kiwango cha kusema makolo nae atajipigia kirahisi rahisi tu ukweli ni kwamba vipers walikutana...
  10. Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

    Hello JF Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali. Ni hatari sana ni hatari sana...
  11. Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  12. Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar

    Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi. Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana wazi hata kwa sisi tusiokuwa wanasiasa wala wachumi kuwa dollar itapungua umuhimu wake siku chache...
  13. Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  14. Kama kuna Mtanzania mwenye Condoms asizozitumia au za akiba anipe niziwahishe Kenya zilikoadimika wasije 'Kuuana' kwa AIDS

    Taifa la Kenya kwa sasa linapitia Kipindi kigumu hasa kutokana na Kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mipira ya Kiume ( Condoms ) hali inayofanya Wakenya wafikirie mara mbili mbili linapokuja Suala la 'Kubanduana' huku wengine wakimalizia tu Haja ( Nyege ) zao kwa Kupiga Nyeto ( Punyeto ) kwa kwenda...
  15. K

    Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  16. Mnaomsema vibaya Hayati Magufuli kuweni na akiba ya maneno, kuna kesho

    Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
  17. Tuweke Akiba Ya Maneno

    Wakati barabara ya Shekilango inajengwa mimi ni mmoja wa watu walioponda wajenzi kwa jinsi walivyokuwa wanajenga. Yaani ilikuwa vurugu mechi, mara wamechimba hapa wameacha, wamejenga hapa wameacha, wametindua huku wameacha. Nikajisemea sijawahi kuona wajenzi wabovu kama hawa na hii njia itakuwa...
  18. SoC02 Unashindwa Kuweka Akiba Ya Kipato Chako Kidogo? Tumia njia hizi

    “Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini. Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
  19. SoC02 Uwekaji wa akiba ya pesa(money saving)

    Hii ni moja ya tabia muhimu za pesa(financial behaviour) ya kuwa nayo.Hii ni tabia ambayo anaweza kuwa nayo mtu yeyote bila kujali jinsia yake na ukubwa/udogo wa kipato chake.Watu wengi tuna mitazamo tofauti na uwekaji wa akiba ya pesa.Unaweza sikia sentensi kama; - Kipato changu ni kidogo...
  20. B

    Kada ni Mzalendo

    Kada- huyu ni mtu ambaye amekisoma vyema chama na kanuni zake bila kupepesa macho na kujiapiza ndani ya moyo wake kukitumikia chama Hiko bila kuogopa kitu chochote hata kifo. Hivyo kuwa "KADA" sio jambo la lelemama wala jambo la mchezo mchezo ni kuwa mwanajeshi Tena mtiifu na MZALENDO. Usiwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…