akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hakikisha tu una akiba ya kutosha ya chakula, iwe utaandamana au hautoandama. Athari ni kwa wote

    Hakikisha hurudii kosa. Tusisahau phase ya kwanza nyanya moja tuliuziwa zaidi ya Tsh elfu 1 Tusisahau nyama kilo moja tuliuziwa Tsh elfu 25, mchele tsh elfu 5 ,viazi gunia la elfu 60-70 viliuzwa laki 2. Ni heri kujiwekeza vizuri iwe utaandamana au hautoandamana Hii nchi mpaka tuikomboe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dunia haina huruma kwa Mwanaume. Ogopa sana siku utakayoacha kuingiza pesa

    As a man, you can’t stop spending. Just Pray you don’t stop earning. Matumizi kwa mwanaume hayakwepeki, ogopa tu siku ambayo utaishiwa pesa. kusanya mzigo wa kutosha uweze kukusaidia uzeeni ufe kwa heshima. Kuvaa, kula, pango, usafiri, n.k. ni juu yako Kupata mpenzi utahitaji kutumia pesa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alinipiga gepu kwa kipato cha laki 9 kwa mwezi wakati naingiza 80K hadi Laki kila siku, Kipato cha kila siku kina ugumu kuweka akiba

    Mnavyoona Mafundi, Madereva, Wajenzi, Wavuvi, Watoa huduma, n.k. wanavyoingiza kila siku kiasi ambcho kwa hesabu za mwezi kinaweza kuvuka hata mshahara wa mtumishi serikalini lakini hawana maendeleo msiwalaumu sana, Ni ngumu sana kuingiza hela kila siku halafu uwe na budget kama ya mtu...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokusanya Kodi inaweka AKIBA?

    Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA? Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?
  6. hyle master

    JamiiForums Tanzania Natafuta Huduma ya Akiba ya Fixed Term Inayoruhusu Kuweka Mara kwa Mara Bila Kutoa Mpaka Muda Uishe

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maarifa kutoka kwa yeyote anayeifahamu huduma ya benki au mobile money inayoruhusu kuweka akiba ya muda maalum (fixed-term saving) kwa mfumo ufuatao: Nijiwekee muda mfano mwezi 1 hadi mwaka 1 Niwe na uwezo wa kufanya deposit mara kwa mara wakati wa kipindi hicho...
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Wekeza weka akiba ili uishi vizuri kesho

    Unataka kufikia uhuru wa kifedha? Ni lazima upitie hizi hatua sita.. Na ili ufike hatua ya sita ni lazima upitie hatua y Akiba kisha uwekezaji 1. Tengeneza Bajeti ya Kila Mwezi Tambua kipato chako na angalia matumizi yako yote. Lenga kutumia chini ya unachopata. Tenga asilimia kwa kila...
  8. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Muacheni Rais Samia. Ni kama Mzazi awekaye akiba za Wanae

    Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya. Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa kiongozi mwenye cheo cha juu namna hii usingethubutu kuweka akiba ya baadae kwa ajili ya watoto wako...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini tutumie akiba ya fedha za kigeni kununulia umeme nje na hali tunao humu ndani?

    Huwa nazungumza sana akiba ya pesa za kigeni sababu ni kitu muhimu sana kwa nchi. Nchi inatakiwa kutumia kwa busara sana pesa za kigeni. Hizo ndizo tunaagizia mafuta, madawa, kulipa madeni na mahitaji mengine muhimu. Ukisikia serikali haina pesa ujue hasa inamaanisha haina hizo reserve...
  11. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

    Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea 👉Umepanga chumba na sebule 70k-100k kwa mwezi 👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku 👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi 👉Bado umeme(10k), maji 👉Huna malupulupu Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tamida yasema ni sawa BOT kuweka akiba ya madini

    Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

    Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno. Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare. Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika. Hongereni wana...
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  16. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Hakika wema ni akiba

    Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua. Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Matendo mema ni akiba yako(wema hauozi)

    Wema hauozi ,matendo mema ni akiba yako mbinguni na duniani. Uzuri wa mtu upo katika matendo yake mema. Mikono inayosaidia watu ni bora kuliko midomo inayosali bila matendo. Imani bila ya kuwa na matendo mema imekufa. Ni heri kutoa kuliko kupokea.. Mikono inayotoa kusaidia wahitaji...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kujiwekea akiba ya kipesa?

    Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida. Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia ni heri ya mdudu chungu aliyejiwekea akiba ,so akiba is inevitable. Kibiblia saving ni lazima na...
  20. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

    Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia 1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
Back
Top Bottom