akiba

Tadatoshi Akiba (秋葉 忠利, Akiba Tadatoshi, born November 3, 1942 in Arakawa, Tokyo) is a Japanese mathematician and politician and served as the mayor of the city of Hiroshima, Japan from 1999 to 2011.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

    Kosa la uandishi lililopelekea kosa la matamshi lililotokea kwenye hotuba za Mhe Rais kuhusu akiba ya Taifa limekuwa likifanyika Katika hotuba za nyuma. Hotuba yake ya Juni alisema Tena USD Bilioni 4000+ na siyo Usd Milion 4000+, Juzi Bilioni 6000+ na siyo Milioni. Ukisoma vyombo vya habari...
  2. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
  3. Memento

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji. Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tafadhari leo Xmas kwa wale wapenda sifa kutumia akiba ya pesa kwa pupa

    Tafadhari kaa mbali na simu usijekutumia simbanking kaa mbali na atmcard leo siyo siku nzuri kwa wale wapenda masifa 😎😎 January school fees
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dc Iramba afanikisha askari 85 wa jeshi la akiba kupata ajira Suma JKT

    Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7, === Namba hazijawahi kudanganya na...
  8. Kaaya10

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu tatu za kuweka akiba

    Hizi ndizo sababu kuu tatu za kuweka akiba Dharura. Tunaweka akiba kwa sababu tunajua kuna dharura itatokea na utahitajika kuwa na akiba, dharura sio kwamba hazijulikani hapana, usichojua ni itakuja lini na kwa kiwango gani. Kuna watu wakipata dharura na wana akiba awaitumii eti kwa sababu ni...
  9. Masibayi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Rejea katika historia Hii ni kinyume kidogo Na utaratibu tuliozoea kusikia au kushauriwa na wataalamu Wa kiuchumi au wahamasishaji,motivational speakers. Dhana ya kuweka akiba imekuwa ikielezwa katika misingi ya vitu mbalimbali Na ikipata mashiko kutoka kwenye biblia Na vitabu vingine. Ingawa...
  10. Thailand

    JamiiForums Tanzania SoC01 M-pesa Kibubu, Tigo Pesa Kibubu n.k: Njia nyepesi ya kuweka akiba kwa wananchi

    Habari ndugu! Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umekwama kuanza kuweka Akiba? Ukifanya haya ni rahisi kuweka akiba na kufikia malengo yako makubwa maishani

    Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba. Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
  12. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Ninawezaje kujenga Tabia ya kuweka akiba?

    Mara nyingi ni vyepesi kusikia watu wakilalamika kuwa nafanya kazi lakini pesa siioni, Nafanya biashara lakini sioni faida. Moja ya tatizo kubwa ni kuwa watu wengi hatuna taratibu za kupanga Bajeti na kuweka Akiba. Leo Tujifunze juu ya Akiba. Akiba ni kiasi cha fedha au kitu kinachowekwa kwa...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Ahmed Haydar, Imam wa Masjid Mwinyi Kheri Akida afariki dunia

    Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri. -------- Bismillahi rahmani Rahim. Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli za maziko zitaanzia Mwananyamala B Mtaa wa Berege karibu kabisa na shule ya msingi ya Mwananyamala B...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
  15. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya uchaguzi kupita, tuwekeni akiba ya maneno na vitendo

    Hata iweje maisha yataendelea baada uchaguzi kumalizika na bila kujali matokeo ya Uchaguzi yatakuwaje. Wadau wote wa uchaguzi, yaani Wanasiasa, wagombea, ofisi ya msajili, Tume ya Uchaguzi, Askari, wasimamizi wa uchaguzi, wahesabu kura, mawakala na wapigakura tukumbuke muda wote kuweka akiba ya...
  17. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

    Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa. Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwajali bana jeshi la akiba

  19. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Tanzania Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

  20. IAfrika

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Sudan Kusini yasema Akiba ya Fedha za Kigeni imekwisha

    Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
Back
Top Bottom