akaunti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk atangaza ujio wa 'Badge' za Dhahabu, Kijivu na Bluu kwenye akaunti za Twitter

    Bilionea na mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema jukwaa hilo litakuwa likizindua 'badge' za rangi tofauti ili kuzitofautisha akaunti. Tiki ya dhahabu kwa makampuni, tiki ya kijivu kwa serikali, bluu kwa watu binafsi na watu mashuhuri na akaunti zote zilizoidhinishwa zitathibitishwa upya kabla...
  2. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Elon Musk alidhamiria kutorejesha akaunti ya Twitter ya Donald Trump kwa kuwa anamchukia

    UVUMI Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 2017 hadi 2021, Donald Trump. Kichwa cha habari cha taarifa hiyo kinasomeka...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Instagram ya Serikali kutumika kuwanadi wagombea wa uchaguzi wa CCM

    Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya chama dola Akaunti ya Instagtam kwenye bio yake Hivyo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  6. Mr Death

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumia Fitbit wote kulazimika kuwa na akaunti za Google 2023

    Kuanzia mwaka 2023; watumiaji wa smartwatch za Fitbit watalazimika kutumia akaunti ya Google katika kujisajili kwenye vifaa vya Fitbit - smartwatches na fitness trackers. Fitbit ni brand kubwa ya smartwatch ambayo ina mfumo wake wa kufungua akaunti katika vifaa vyake; lakini ilikuja kununuliwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwenye akaunti za benki za watu ni umafia

    Natanguliza salamu kwa unyenyekevu kabisa. Juzi kati nilienda benki nje kwenye ATM kuuliza salio. Salio lilionesha laki kadhaa na elfu kumi. Sikutoa hata mia, nikajisemea moyoni hata kesho naweza kuzitoa kwanza zipo sehemu salama. Siku iliyofuata nilienda tena ATM niliona bora nitoe pesa zote...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

    Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania BOT - Ruksa sasa Watanzania kununua hati fungani ktk nchi za SADC / kufungua akaunti kwa hela ya kigeni

    BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

    “Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili. “Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ujerumani na Italy zaifyata mikia yao, zafungua akaunti nyingi za Ruble kwa fujo ili kununua gesi ya Russia kwa wingi zaidi

    Baada ya kushupaza shingo kwa miezi kadhaa kuhusu kulipia gesi kwa sarafu ya Ruble, mwisho aa siku Ujerumani imetababahi kuwa haina msuli wowote wa kususia au kuacha kutumia gesi ya Russia. Ujerumani na shoga yake Italy wameona isiwe tabu, waendane na matakwa ya Putin wasije katiwa gesi...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Twitter kumfungia Trump maisha haikuwa sahihi, aahidi kurejesha Akaunti ya Twitter ya Trump

    Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua Twitter anamfungilia Trump. Bw. Musk yeye anajiita muumini mkubwa wa uhuru wa kujieleza usio na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania KWANINI HAIWEZEKANI KUFUTA AKAUNTI ZA BETTING

    Habari za jioni wadau. Napenda kufahamu hivi ni kwanini kampuni za betting mtu akishafungua akaunti inakua haiwezekani tena kuifuta yaani hawana kabisa sehemu ya iwapo mtu amekoma kwa kuliwa pesa basi afute akaunti ajishughulishe na mambo mengine.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia akaunti ya Peter Madeleka Twitter; utabaini ni mtu mwenye kisasi na asiyefaa kupewa madaraka yoyote

    Niombe wananchi mtembelee akaunti ya tweeter ya Peter Madeleka mjionee ni mambo Gani yaliyopo kwenye hiyo akaunti. Mimi binafsi Siku amefariki JPM ndipo nilianza kumsikia huyu Bwana nikafuatilia baadhi ya stori zake na namna awamu ya Tano ilivyomtesa akiwa Gerezani. Lakini nakumbuka baada ya...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya twitter ya Citizen yadukuliwa

    Akaunti ya twitter ya Gazeti la Citizen imedukuliwa. Uongozi umewataka wateja wake kutoamini taarifa yoyote itakayotolewa na ukurusa huo kwa sasa Timu ya wataalamu wanaendelea kushughulikia namna ya kuirejesha.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambiwa TCD inatumika kwa manufaa binafsi, Admin aifunga akaunti ya TCD Twitter

    TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto...
Back
Top Bottom