Twitter waifungia akaunti ya Ayotollah Ali Khamenei

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
Twitter permanently suspended an account linked to Iran’s supreme leader after it promoted a video depicting the assassination of former President Donald Trump, according to a report.

”The account referenced has been permanently suspended for violating our ban evasion policy,” a Twitter spokesperson told Agence France-Presse on Saturday, referring to the account @KhameneiSite.

The social media giant said its top priority is keeping people safe and protecting the health of conversations on the platform.

The account, linked to supreme leader Ayatollah Ali Khamenei, posted an animated video of a drone last week targeting Trump as he is golfing near Mar-a-Lago, his resort in Florida.

The clip called for revenge for the death of Iranian Gen. Qassem Soleimani, the commander of the elite Quds Force who was killed in a drone strike ordered by Trump near the Baghdad airport on Jan. 3, 2020.

In the video, titled “Revenge is Definite,” a robot spots Trump playing golf with a small group and calls in a drone strike.

Moments before the drone hits Trump, wearing a red cap, and what appears to be former Secretary of State Mike Pompeo, they receive a text message that says: “Solemani’s murderer and the one who gave the order will pay the price.”

Khamenei has repeatedly vowed to assassinate Trump over the killing of Iran’s top general.

The former president, who has been suspended by Twitter because of his posts about the Capitol riot, and his supporters have urged the platform to take action against Iran for calling for violence against Israel and the US.

Other accounts associated with Khamenei are still online.

FB_IMG_1642265763224.jpg
 
Iran huwa mchokozi and akipigwa anasema anaonewa.. utawala wa ayatollah unatakiwa uondoshwe wote ili iran iwe huru. Raia wakilia wanazibwa midomo.. utawala wa ayatollah umepata maraisi wafuasi wengi Africa akiwemo jiwe kupoteza watu na kuwaonea
 
Ayatollah Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran; legend wa Shiite followers duniani; ndio anakosa akili kwa kiwango kile! Ajabu sana! By the way nimeshangaa kusikia anatumia Twitter mtandao wa kikafir! Bila aibu kabisa anaita Twitter, ana-login na kuitumia; mnafiki ni hatari kuliko mchawi!
 
Twitter has banned one of the accounts of Ali Khamenei, the terrorist dictator of Iran for publishing an animated assassination video of Donald Trump.
...
... au ametangaza "fatwa" kama ambayo iliwahi kutangazwa na mtangulizi wake kwa Salman Rushdie? Tangazo la kijima zaidi kwa dunia iliyostaarabika. Wanapenda kweli hizo halafu hazinaga matokeo chanya wanayoyatarajia.
 
.... Ayatollah Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran; legend wa Shiite followers duniani; ndio anakosa akili kwa kiwango kile! Ajabu sana! By the way nimeshangaa kusikia anatumia Twitter mtandao wa kikafir! Bila aibu kabisa anaita Twitter, ana-login na kuitumia; mnafiki ni hatari kuliko mchawi!

We naye ni wale wale watumwa wa Mapokeo ya Dini.
 
.... Ayatollah Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran; legend wa Shiite followers duniani; ndio anakosa akili kwa kiwango kile! Ajabu sana! By the way nimeshangaa kusikia anatumia Twitter mtandao wa kikafir! Bila aibu kabisa anaita Twitter, ana-login na kuitumia; mnafiki ni hatari kuliko mchawi!
Ngoja Ayotollahs wenzake kina Kimsboy waje huku patakuwa hapatoshi😂😂😂
 
.... Ayatollah Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran; legend wa Shiite followers duniani; ndio anakosa akili kwa kiwango kile! Ajabu sana! By the way nimeshangaa kusikia anatumia Twitter mtandao wa kikafir! Bila aibu kabisa anaita Twitter, ana-login na kuitumia; mnafiki ni hatari kuliko mchawi!
Kwa hiyo mmiliki wa twitter ameianzisha kwa ajili ya wagaratia wenzie tu na dini zingine aiwahusu sio?

Una akili ndogo sana yaan biashara za watu unaanza kuhusisha na masuala ya dini?

Ww nyumbani kwako huwa hautumii bidhaa za Mo , Azam na Azania kwa sababu watengenezaji wake ni waislam?

Umejaa makamasi kichwani badala ya ubongo jinga ww.
 
Kwa hiyo mmiliki wa twitter ameianzisha kwa ajili ya wagaratia wenzie tu na dini zingine aiwahusu sio?

Una akili ndogo sana yaan biashara za watu unaanza kuhusisha na masuala ya dini?

Ww nyumbani kwako huwa hautumii bidhaa za Mo , Azam na Azania kwa sababu watengenezaji wake ni waislam?

Umejaa makamasi kichwani badala ya ubongo jinga ww.
... au ametangaza "fatwa" kama ambayo iliwahi kutangazwa na mtangulizi wake kwa Salman Rushdie? Tangazo la kijima zaidi kwa dunia iliyostaarabika. Wanapenda kweli hizo halafu hazinaga matokeo chanya wanayoyatarajia.
Ukitoa muanzilishi wa Twitter, Mwanahisa Mkubwa wa Twitter ni prince wa Saudia, Alwaleed.
 
Iran huwa mchokozi and akipigwa anasema anaonewa.. utawala wa ayatollah unatakiwa uondoshwe wote ili iran iwe huru. Raia wakilia wanazibwa midomo.. utawala wa ayatollah umepata maraisi wafuasi wengi Africa akiwemo jiwe kupoteza watu na kuwaonea
Siungi mkono hivyo vikatuni ila Wamarekani na washirika wake ni wanafiki, wanahubiri demokrasia na uhuru ikiwa wanafaidika wao tu ila wakifanya wengine haifai.

Mfano wana movie ya kumfanyia assasination Kim wa North korea, wanatetea kila mtu ana uhuru wa maoni na movie imeruhusiwa, movie inaitwa Interview.

At same time Movie ya Dodi inayomhusu Malkia Elizabeth ikawa banned bila sababu yoyote ya maana, Vikatuni kama hivyo vinakuwa suspended. Ila ingekuwa ni Vikatuni vinamtukana Mtume vingeruhusiwa na wangeita uhuru wa Maoni.
 
Kwa hiyo mmiliki wa twitter ameianzisha kwa ajili ya wagaratia wenzie tu na dini zingine aiwahusu sio?

Una akili ndogo sana yaan biashara za watu unaanza kuhusisha na masuala ya dini?

Ww nyumbani kwako huwa hautumii bidhaa za Mo , Azam na Azania kwa sababu watengenezaji wake ni waislam?

Umejaa makamasi kichwani badala ya ubongo jinga ww.
... kwanza mimi sina nafasi yoyote katika jamii; mimi kapuku tu! Pili, sikuwahi kutukana bidhaa ulizotaja au originality yake huku kwa kificho nikiwa nazitumia; hujaelewa context au? Kwa nafasi yake Ayatollah anatakiwa kujiheshimu sio ku-act kipumbavu! Baada ya maelzo hayo compare and contrast kati yangu na wewe nani jinga.
 
Kwa hiyo ni wapi ambapo Ayatollah alisha itukana Twitter?

Kuhusu nafasi aliye nayo vipi kuhusu Trump?
Maana Tramp ndio kiongozi wa kwanza dunia kipigwa ban na karibia na mitandao yote ya kijamii kwa utovu wa nidhamu na uchochezi.
Mbona hukuja kumtolea maneno machafu kama uliyo toa kwa Ayatollah?
Punguza chuki ndugu.
 
Huu ni moja ya tawala dhalimu ambayo inapaswa kutoweshwa ktk uso wa dunia
Ww ni boya kweli.
Kabla hujaomba kufutwa kwa utawala ya Ayatulla ambao ndani ya miaka 40 tu umeifanya Iran kuwa taifa la pili kwa uchumi mkubwa baada ya saudia katika eneo la mashariki ya kati.
Ulio ifanya Iran kuwa taifa lenye nguvu za kiviwanda kuliko taifa lolote mashariki ya kati.
Ulio ifanya Iran kuendelea katika tekinolojia ya kijeshi,na kiraia.
Ulio ifanya Iran kuogopeka mashariki ya kati.

Nadhani ingelikuwa bora kuomba kufutwa kwa utawala wa nchi yako ambao kwa miaka 60 umeshindwa hata kumaliza tatizo la madawati na matundu ya choo.
 
Iran huwa mchokozi and akipigwa anasema anaonewa.. utawala wa ayatollah unatakiwa uondoshwe wote ili iran iwe huru. Raia wakilia wanazibwa midomo.. utawala wa ayatollah umepata maraisi wafuasi wengi Africa akiwemo jiwe kupoteza watu na kuwaonea
nani anauwezo wa kumuondoa ayatullah
 
.... Ayatollah Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran; legend wa Shiite followers duniani; ndio anakosa akili kwa kiwango kile! Ajabu sana! By the way nimeshangaa kusikia anatumia Twitter mtandao wa kikafir! Bila aibu kabisa anaita Twitter, ana-login na kuitumia; mnafiki ni hatari kuliko mchawi!
Mtandao wa twitter hauna dini mkuu, kusema ni wakikafiri sio sawa maana ndio njia rahisi ya kuwafikia waumini/wafuasi duniani kote.
 
Back
Top Bottom