ngoja waje wajuzi wa betting hata mimi nilishindwa sportpesaHabari za jioni wadau.
Napenda kufahamu hivi ni kwanini kampuni za betting mtu akishafungua akaunti inakua haiwezekani tena kuifuta yaani hawana kabisa sehemu ya iwapo mtu amekoma kwa kuliwa pesa basi afute akaunti ajishughulishe na mambo mengine.