ajira

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa na mnaotafuta ajira hasa za serikalini, mna lipi la kuwaambia wanaosema ajira ni utumwa?

    Ajira ni Utumwa Hakuna Tajiri alieajiriwa Huwezi kurithisha watoto wa ajira
  2. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

    Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo 😂🙏😂. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
  3. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

    # Wanatangaza Ajira 14 elfu. # Wanafanyisha interview. # Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza. Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
  4. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

    Habari wakuu Naomba ushauri na mwongozo Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa...
  5. Ngosha36

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ajira ya udereva

    Habari za usiku wapendwa me kijana wa miaka 26 Nmesoma mambo ya udereva Nina class A, A2, B, D, E Elim yangu Kidato Cha 4 Uzoefu wa miaka 5 Pia nmefanya kazi kampuni tofaut tofaut pia vyeti vya utumish ninavyo Nahitaji kampunii au taasisi au kiongozi kikubwa mkono uende kinywanii napatikana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe. Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana. Lakini pia...
  7. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Naomba kuisaidia serikali kuwapa wazo ambalo litasaidia kuondoa kupunguza tatizo la ajira kama sio kuliondoa kabisa.

    Habari wakuu. Mimi nipo na wazo ambalo naamini litapunguza tatizo la ajira Kama sio kuliondoa. Naomba Kama kuna kiongozi umu ndani tuwasiliane PM.
  8. KABAKA28

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania. Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea Japani hali ya ubaguzi kwa Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine. Visa ya Kufika Japani ni...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

    Wanabodi, Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea, Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma! https://youtu.be/hrFHfkk06Wk Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi...
  10. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye yafuatayo kukabilian na tatizo la ajira

    Zifuatazo ni mbinu za kupunguza tatizo la ajira nchini Kuondoa VAT Wafanyakazi wa idara ya serikali ukitoa udaktari na unesi ajira zao ziwe ni za mfupi kuanzia miaka 5 mpaka 7 ili kila mtu afaidi keki ya taifa Mikopo ya bank za biashara isizidi iwe kati ya asilimia 4 mpaka 6
  11. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania AJIRA: MWALIMU GEOGRAPHY-HISTORY

    Urgent anahitajika Mwalimu WA masomo ya Geography na History ngazi ya Shahada. Shule IPO Mbeya Mjini. Mwalimu awe mahiri na mwenye uwezo wa kufundisha na kutoa Matokeo mazuri. Mshahara ngazi ya serikali na Kuna marupurupu ya ziada. Mawasiliano: 0655087675 Ni vizuri Mwalimu akiwa jirani na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  14. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  15. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira ya kumpa mwanao huna,,Watoto wataenda sana VETA

    Kama wewe ni mzazi una maisha ya kawaida ya kipato chini ya milioni mbili kwa mwezi please please Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu ukisikia maneno aende VETA Wazazi wengi wana site hazijakamilika miaka 10 hadi 15 nyumba haijapauliwa...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Vijana fuateni ushauri wa waziri mkuu Majaliwa kuhusu ajira

    Nimemsikia waziri mkuu Kassim Majaliwa Juzi akiwa Shauri vijana wenye shahada za vyuo vikuu lakini hawana ajira wajiunge na vyuo vyetu vya Veta ili kujifunza SKILLS mbali mbali. Nimesoma pia kwenye mitandao vijana wakiubeza ushauri huu!! Ushauri huu ni mzuri ambao vijana wanatakiwa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu wanadanganya kuwa ajira ya serikali ina Job security kubwa, kumbe wanazunguka tu lengo hasa ni kusema ajira ya serikali ina madili mengi salama

    Watu wanavyosema ajira za serikali zina job security maana yake ni kwamba unaweza kupiga dili na ukajulikana lakini usichukuliwe hatua yoyote. Hata warning letter hupewi. Maana kuanzia Mkurugenzi, meneja, mpaka mfagizi na mlinzi wanajuana madili yao. Sasa wa chini au wa kati akiharibu kwanza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Virtual Data Collector - Real Estate

    Job Details: Virtual Data Collector - Real Estate Company: Daniel Advisory Location: Remote (Primarily focused on Dar es Salaam, Tanzania market) About Daniel Advisory: Daniel Advisory is a dynamic real estate agency based in Dar es Salaam, Tanzania. We are committed to providing our clients...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye ajira za TRA uwezekano wa Mbara kuajiriwa ni 1 kati ya 100 na Mzanzibari ni 10 kati ya 100, nimekosea hesabu zangu?

    WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000) Wabara - 1 kwa kila waombaji 100 (1277/132027*100)
Back
Top Bottom