Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal.
Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
Amani iwe nanyi!
Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona.
Hii imekuwa tofauti kwa TRA, ambao walianza vizuri kwa kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Cha ajabu...
Hello JF...
Leo nauliza kwa nini wanafunzi wa SUA hawana ajira.???
Wenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira...
Kwa nini serikali isijenge vyuo vingi vya Kilimo watu wasome...
Watu kuanzia waliomaliza darasa la saba mpakla form six waliofeli waingie kwenye hivyo vyuo wasome...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo.
Heche ameyasema hayo...
Habari za muda huu wanajamvi.
Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia
Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa hao wanaowaambia wajitafutie ajira
Huduma za afya ni mbovu. Miundombinu hairidhishi na mambo mengine...
Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni.
Hivi ni baadhi tu ya vyuo
TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
Wakuu Habari.
Usiku wa leo TRA imetangaza siku ya matokeo ya oral lakini pia ndani ya taarifa hiyo wamesema kulikua kuna ongezeko la ajira 300 ambazo hazikuepo hapo awali katika usaili wa kuandika.
Kuna watu wengi wamekosa nafasi ya kwenda oral interview kwa sababu ya ratio na sio kwa sababu...
Dereva Uber/Bolt
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle...
Habari za wakati huu Wana-JA.
Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo:
1.Assistant Community Development officer (CDO)
2.Administration Officer
3.Assistant HR
4.Store keeper (Whare house)...
NAOMBA NAFASI YA KAZI
Habari, wakuu
Mimi ni kijana mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu ya kazi. Ingawa sina elimu ya vyeti, nina uwezo mzuri wa kujifunza kwa haraka na kufanya kazi kwa bidii.
Natafuta kazi ya aina yoyote halali kama:
Usafi wa ofisi
Kazi za ndani
Kusaidia mafundi...
"AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?"
Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya…
Lakini wapo...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Niende moja kwa moja kwenye mada
Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu
1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha )
2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.