ajira

  1. B

    Hakuna kitu kizuri kama kufanya biashara au kilimo kwenye makaratasi ukisaidiwa na calculator, lakini kiuhalisia inaweza isewe hivyo

    Nilipomaliza chuo sikutaka kuajiriwa. Nikaona nijiajiri ili niweze kupata utajiri wa haraka ndani ya miaka michache. Nikafanya biashara ya kwenye makaratasi nikaona nitapata faida kibao huku nikisaidiwa na calculator yangu. Nikaomba mtaji home, huyo nikaenda Songea kununua mahindi na kupeleka...
  2. Waziri aagiza Wakuu wa Shule kuwabaini Walimu wanaojikita kufundisha tuisheni kuliko kwenye ajira walizoomba

    Walimu Wakuu wa shule za msingi wameagizwa kusimamia vizuri taaluma na kuwabaini wale wote wanaojikita kufundisha tuisheni badala ya kutumikia ajira waliyoiomba. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ambapo alitoa agizo wakati alipokuwa...
  3. B

    Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy! Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya...
  4. Naona kama mabinti waliohitimu vyuo wanakabiliana vizuri na changamoto ya ajira kuliko vijana wa kiume

    Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali. Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
  5. Inasikitisha; Kijana ajiua baada ya kukosa ajira Jeshini

    Kijana Sunday Matara(28)amejiua kwa kujinyonga baada uongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa kusitisha mafunzo kwa vijana wa kujitolea 2020/2021. Marehemu tayari alikua amekamilisha mafunzo kwa miaka mitatu ambapo baada ya kutoka Jkt alikwenda kukaa kwa Kaka yake Pugu,Dar es salaam. Huko ndiko...
  6. J

    Nina Stashahada ya Uhasibu, natafuta ajira

    Elimu ni stashahada ya uhasibu ila kazi yoyote nipo tayari naomba msaada ma boss mliopo humu Mimi binti wa miaka 25 naishi Kibaha, Pwani 0628882267 Asante!
  7. Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe. "Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha...
  8. Bustani zote kuwekwa Wi-Fi ili vijana wetu watumie kwenye shughuli zao za kielimu na ajira pia

    Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao.... Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na...
  9. Kenya yaingia katika recession; GDP yapungua, watu milioni 3 wakosa ajira

    Madhara ya covid 19 yameishambulia kenya na kuwa nchi ya kwanza kwa sub saharan africa kuingia katika recession tokea miaka 30 iliyopita. Miezi mitatu ya mwisho october mpaka december 2020, GDP ya Kenya ilishuka kwa 5.5% na uzalishaji katika sekta za usafirishaji, viwanda, biashara vilishuka...
  10. Sijaona umuhimu wa sekretarieti ya ajira kurudia majina ya waliopata kazi katika matangazo mapya ya kazi

    Niende moja kwa moja kwa mada. Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote. Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
  11. I

    Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe. Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
  12. S

    Vigezo vya kudahili walimu viangaliwe upya kabla ya ajira 5,000

    Katika utoaji wa ajira za walimu kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusiana na vigezo vinavyotumiwa kupata walimu. Nataka nizungumzie kigezo cha mwaka wa kuhitimu chuo. Sio sahihi na haki kumwajiri mwalimu aliyehitimu chuo mwaka 2018 ukamuacha aliyehitimu mwaka 2017, 2016 na 2015 (wenye masomo...
  13. K

    Hivi hizi ajira 5000 za waalimu ni zinazozungumziwa ni zipi!?

    Habari wana jamvi. Kwa bahati nzuri mimi ni mdau mkubwa elimu nimefurahishwa sana ujenzi na ukarabati wa mashule unavyoendelea kwani nina hakika vijana wengu watapata elimu katika mazingira bora. Jana kwa bahati nilimshuhudia Mhe Rais akizindua ujenzi wa ihungo secondary na veta. Kwa...
  14. Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  15. Ajira za Uhasibu (Accountant), Store Keeper na Personal Assistant

    Asalaam Alaikum. Fursa ya ajira. Kuna nafasi za kazi za... 1) Mhasibu (Accountant). 2) Store Keeper. 3. Personal Assistant. Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi. Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo...
  16. Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  17. Mhitimu, Serikali ifanye nini ili uweze kujiajiri?

    Hii ishu imesemwa sana lakini naomba nirudie. Serikali yetu imeajiri watu kama laki tano tu usipojumlisha wanajeshi na polisi. Sehemu kubwa ya hao, kama asilimia 50 ni waalimu. Ukiangalia hapo hata serikali ikisema iajiri watu kadri inavyoweza haitaweza kutatua tatizo la ajira. Serikali...
  18. Kijana kama unakesha usiku kucha kusoma ufaulu; kama ajira huna unatakiwa kukesha pia usiku kucha kuwaza ufanye nini upate pesa

    Vijana wengi hukesha hata usiku kucha kusoma ili wafaulu mtongani Akishamaliza vyuo na kupata vyeti hushinda tu akilalamika ajira hamna huku akikesha kuchat na simu kuhangaika kuangalia movie na ujinga mwingine wa mitandaoni. Hakeshi kuwaza na ku-brain storm afanye nini ili apate pesa. Vijana...
  19. Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…