Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu mkubwa akika nimejifunza mengi makubwa mahusiano kazin nk unaachiwa ofis ya umma unafanya kaz zote as...
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Wanatakiwa waelewe, kampuni binafsi inahitaji mtu smati na aliyeiva kweli kweli, ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yako; kwa sababu lengo la makampuni ni kutengeneza faida na si hasara. Sasa utakuta vijana:-
Wengi hawajimudu kwa kile walichokisomea au wanachokielezea wanaweza kukifanya...
Habari za wakati huu,
Miaka zaidi kadhaa iliyopita nilihitimu masomo yangu ya sekondari.Baada ya kuhitimu nilirudi nyumbani na tukakutana marafiki kadhaa ambao wote tulikuwa tumehitimu tukisubiri matokeo.Katika kipindi hicho nakumbuka siku moja katika majadiliano ya hapa na pale tuliulizana...
Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako inachukuliwa".
Amefafanua "Nilishawahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar, wakati ule...
Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
Mfumo wetu wa ajira unaeleza kuhusu sifa za mwomba ajira na unafafanua hadi timu ya usahili. Ni mfumo mzuri na Dunia nzima inautumia.
Kilichotokea Tanzania Leo wazazi wamekosa uvumiliv, hauna mzazi mwanasiasa mwenye nafasi za juu anayetaka mtoto wake asote kupanda Madaraja na vyeo kwenye...
Jamaa nchi inazidi kufunguliwa hukuu. Fursa hiyoo kwa watafutaji.
Wale mawakala wa dubei, Qatar n.k na wale watafuta kazi nje ya nchi mambo yamenoga huku.
Mimi nataka nikafanye zangu kazi dubei, nimechoka kupambana na wachina na wahindi wa Bongo 😁😁
Habari Kamili 👇👇👇👇
========
SERIKALI...
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000.
Napata tabu sana kuelewa...
hizi siasa za kutuaminisha eti mnakopa ma trioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kujifanya hamuoni hali zetu sisi tuliozingatia kitabu kama mlivyotuagiza ni uzandiki mtupu.
Leo hii tunaonekana kama mizigo kwa wazazi na ndugu nyie mko bize kulumbana kisa uchu wa madaraka, tunakoelekea...
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.
Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.
Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kuna kipi kinaendelea Tanganyika? Au Kuna mchezo tunachezewa sisi watanganyika Kwa manufaa ya...
Mimi Alex aidani mwenye umri wa miaka 29 naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na taaluma hiyo.
Nina elimu ya dimploma ya ustawi wa jamii, hivyo ninauzoefu wa miaka miwili na nusu katika kusimamia vituo vya watoto yatima...
kuna ajira mmetangaza
kwenye nafasi ya kazi ya udereva zile sifa za
dereva mnayemtaka kwamba awe amesoma kozi ya mwaka mmoja basic certificate ya udereva , sijawai kusikia kozi hiyo ya mwaka 1
ni vyema mkasahiisha lasivyo mmewachanganya vijana
kuna mmoja kaniuliza bro kuna chuo hapa bongo...
Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani.
Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje...
TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya. Iwe Kwa wazungu, wachina, waarabu au Waafrika, propaganda Kwa sehemu kubwa ndio hufanya watu wawe na...