Naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na hiyo

royal2000

New Member
Dec 17, 2021
3
0
Mimi Alex aidani mwenye umri wa miaka 29 naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na taaluma hiyo.

Nina elimu ya dimploma ya ustawi wa jamii, hivyo ninauzoefu wa miaka miwili na nusu katika kusimamia vituo vya watoto yatima.

Namba yangu ya simu 0765846353,na mwenye kuhitaji huduma yangu awe tayari kunilipa sh 350000 pesa ya kitanzania.

Wenu katika ujenzi wa taifa
 
Back
Top Bottom