ajira

  1. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Niko njia panda, niendelee na mishe zangu au niombe ajira za Serikali?

    Husika na mada hapo juu. Mimi ni mhitimu wa diploma ya elimu since 2017. Mwaka 2019 nikaaply degree na nilichaguliwa lkn sikwenda baada ya kuwaza sana nikaona nifanye mishe kwanza kwa hela kidogo nliyonayo badala ya kupoteza 3 yrs chuo alaf nianze kuhangaika na ajira, nikiwaza kwamba nitaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira la TAMISEMI lina mkanganyiko kwa watu wenye ulemavu

    Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba. 1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ajira za Sudan Kusini

    Ninatamani kupata nafasi ya ajira South Sudan. Kwa anayefahamu namna ya kupata ajira huko anisaidie. Mimi nna uzoefu wa kazi miaka 10. Nimefanya kwenye NGOs miaka 5+. Miaka 5 kwenye education sector. Nina elimu ya masters. Bahati mbaya sina experience ya kufanya kazi kwenye emergency.
  6. JamiiForums Tanzania Watu 200,000 hatarini kupoteza ajira Urusi kutokana na vikwazo

    Meya wa Jiji la Moscow Nchini Urusi, Sergei Sobyanin amesema kuwa takriban wafanyakazi 200,000 wa makampuni ya kigeni wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kutokana na vikwazo ilivyowekewa Urusi kufuatia uvamizi wake kwa Ukraine. Sobyanin amesema wiki iliyopita, mamlaka iliidhinisha...
  7. JamiiForums Tanzania Barua za Serikali za Mitaa zinazokubalika Sekretarieti ya Ajira kama utambulisho

    Wadau, Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi. Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Salaam! Baada ya serikali kutoa kibali Cha kuajiri walimu zaidi ya elfu 10, Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti kuanzia bungeni Hadi mitaani kuhusu ni kigezo gani kitumike kuajiri walimu hao ili kuinua elimu nchini. Hivyo ni Bora serikali izingatie kigezo Cha umri wa mwombaji pasipo kujali...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira 1650 Wizara ya Afya

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA TANGAZO LA AJIRA Wizara ya Afya kupitia Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Mechanical na Electrical Engineering ipi ina uwanja mpana kwa ajira kwa sasa?

    Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
  11. JamiiForums Tanzania Barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?

    Marafiki naomba kuuliza. Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
  12. JamiiForums Tanzania Ajira

    Mwenye kujua au anaefanya udereva wa magari kwenda nchi jirani/mpakani mfan;Tunduma maarufu kama (IT) msaada namna ya kujiunga na kazi. Mimi ni dereva ninataka kufanya kazi hiyo. Kwa sasa ni mwanfunzi chuo
  13. JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu kuhusu ajira kwa vijana nchini

    Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk. Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
  14. JamiiForums Tanzania Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao. Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote. Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz Kila la kheri vijana.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
  16. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  17. B

    JamiiForums Tanzania UDOM wanakimbiza kwenye soko la ajira

    Kwenye hizi nafasi za TRA zilizotoka vijana wengi wa UDOM wamepita. Hii inaonesha jinsi gani udom wanadeliver katika ufundishaji hasa hasa Tehama. Vijana wengi wa tehama kutoka udom wameiva me niliwahi kuwachukua vijana watatu intern wamenifanyia kitu kikubwa....Wakati wa kutengeneza mifumo...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ajaira ajira ajira

    Mkurugenzi wa shule ya wasichana holy eukarist iliyoko mbagala inawatangazia nafasi za masomo Kama ifuatavyo. Physics Chemistry Biology History Geography Civics Kiswahili Kwa mawasiliano piga +255686531343 +255713379428 0766000931
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hufanya vizuri kwenye ajira lakin wana fail kusimamia biashara zao wenyewe ama hua hawaanzishi biashara zao

    Because wengi wao they don't know how to run a business in general Kuna watu ambao wako really good at what they do, and have a wealth of knowledge in their field. Na unakuta kiasi kwamba, the company they work for zinamafaniko kwasabab yao na ukute bila wao mambo hayaendi. Lakin sasa kuanzisha...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…