ajira

  1. JamiiForums Tanzania Ajira za Kada ya Sheria

    Wadau katika hizi Ajira zilizoitangazwa na Serikali niliona Kuna Ajira za Sheria na Kilimo/Mifugo kama sikosei. Ila mpaka Sasa hizo za sheria sijaona zinatangazwa.. sijajua hizo zingine za mifugo. Hivyo wadau zikitangazwa hizi za Sheria mnitaarifu mapema. Now naingia huko Chaka kufanya mavuno...
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Ajira, tunaomba mtuwekee matokeo ya 'written interview' kwenye account zetu au tovuti yenu

    Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata. Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
  3. JamiiForums Tanzania TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Wanabodi salaam! Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini. Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
  4. JamiiForums Tanzania Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan 42,870,300 (451,266) NHIF fund employees 28,200 ...... NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio unaweza kuwa muarobaini wa ajira za serikali kutolewa kwa upendeleo?

    Kulingana na namna malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye suala la namna ya kutuma maombi ya ajira za serikali kupitia mfumo uliopo kwa sasa ambao maombi yote hupitiwa na binadamu ambao uzoefu unaonesha kuwa huwa na maslahi ya binafsi ya wazi ama kificho kwenye kuchagua waombaji wapi wapatiwe...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi za afya na ualimu?

    Hivi ni kwanini serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi ajira za afya na ualimu. Inamaana huwa haiwazi kuwa kuna graduates wa fani zingine pia? Hivi ni kwanini isifuatilie upungufu na kwenye taasisi zingine kisha itangaze ajira kwa pamoja? Kwanini ajira za graduates wa fani...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumwombea ajira mwalimu wa certificate ku-add taarifa za chuo

    Nisaidie
  8. B

    JamiiForums Tanzania diploma in education (arts) kwenye mfumo wa ajira tamisemi

    kuna mtu amefanikiwa kuweka masomo ya kufundishia
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye link ya group za whatspp za matangazo ajira atupie

    Jamani kama kuna mdau ana link ya group za whatspp zenye matangazo ya ajira atupiee link Tuone kama tunaweza kubahatia kucheki michongo
  10. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya hili la ajira za afya Tamisemi

    Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
  11. A

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  13. JamiiForums Tanzania Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

    SCENARIO Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya. Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira... FLACK BACK Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu. Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo. Hebu cheki...
  14. JamiiForums Tanzania Wadau natatuaje hili kwenye mfumo wa ajira?

    nimefikia hatua hii lakini tatizo linakuja pale napotaka kujaza jina la chuo kwenye orodha halipo. nimesoma University of Iringa (UoI)
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Katika kufanya maomba ya kazi zilizotangazwa na TAMISEMI, waombaji wengi tumekutana na changamoto hii kubwa. (Hasa upande wa elimu, sijui upande wa afya kukoje) Katika kipengele cha kujaza taarifa za chuo, Baada ya ku-search chuo then unatakiwa kuselect course uliyosoma, lakini kwa bahati...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  17. JamiiForums Tanzania Viambatanisho vya ajira Idara ya Elimu - TAMISEMI

    Jamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini. Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira? Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Habari za wakati huu wadau, natumaini muwazima wa afya. Kwa wale tunaoendelea na kutuma maombi Mungu atusaidie sana. Kuna mkanganyiko kidogo nimeupata kutoka kwa hawa TAMISEMI. Katika page yao ya Instagram waliopost tangazo la ajira kuna mdau aliuliza swali kuhusiana na vyeti kama vinatakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Habari wana jamvi Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…