ajira

  1. JamiiForums Tanzania Wajibu wa kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

    Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu. Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
  2. JamiiForums Tanzania UDSM Fanyeni tafiti jinsi ya kutokomeza panyaroad bila rungu wala risasi pia kutokomeza janga la ajira nchini achaneni na masuala ya uchawi!

    Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina! Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao. Sasa hivi kuna majanga makuu matatu, Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Ajira katika nchi zinazoendelea

    Suala la Ajira ni cross culting issuers katika nchi zinazoendelea Kwa sababu Uchumi katika nchi hizi umeshikiliwa na watu wachache siyo Jumuishi wala shirikishi. (Inclusive economy) matokeo yake Uchumi huu umeshindwa kuzalisha Ajira kama ilivyotegemewa na Sayansi ya kuwa (Jobs are created by...
  4. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

    Kwenye siasa, uchawi 100% Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma😂😂😅😅 Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa. Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua...
  5. JamiiForums Tanzania Nimesoma Bachelor Degree in Business Management, natafuta ajira

    , Wakuu ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mwenyeji wa Iringa na Dar es Salaam. Narudi kwa mara nyingine kwenye jukwaa hili nikiwa na ombi la ajira. Nimesoma Diploma in Procurement and Logistic Management na Bachelor Degree in Business Management, kwa yoyote atakaeweza kunisaidia kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wahitimu kutoka Vodacom (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)

    Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM kushirikiana na cpv - Vietnam kukuza fursa za ajira nchini

    CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV), kupitia udugu...
  8. JamiiForums Tanzania Ajira Ughaibuni

    Habari Vijana wa JF, Leo nianze kwa kutoa ushauri kidogo kwa wale wote wanaotaka kwenda kufanya kazi Ughaibuni hasa Saudia, Oman, Qatar etc. i) Tujiandae na nafasi ambazo tunahitaji (you) ii) Unapoona post kama hii please hit the questions / content, avoid inquisitive mindset. "achana na...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

    Ni baadhi yao,,, sio wote Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki. Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenu Sektetarieti ya ajira (PSRS), je, uwajibikaji na uwazi ni changamoto kwenu? Sio kipaumbele kwenu?

    Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao. Tunafaham...
  11. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara ya ajira

    ELIMU ni suala mtambuka lisilotenganishwa na AJIRA au KUJIAJIRI (Biashara). Hivyo suala la ELIMU linapaswa kutazamwa upya kama uwekezaji usasa ambao ni sharti ulete mafanikio kwenye jamii husika. Mfumo wa kutoa bidhaa pendwa za MUDA,PESA na USALAMA wa muhusika kwa lengo la kujizolea ujuzi na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuoa mke aliesoma chuo huku akiendelea kuomba ajira ni mtihani, umejipangaje siku akipata ajira nje ya mkoa??

    Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
  14. JamiiForums Tanzania Takukuru na sekretarieti ya ajira chunguzeni haraka kinachotokea DUCE, ni aibu

    Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana. Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo. Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu. Mpaka sasa hatujui waliopiga...
  15. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu za kuondokana na tatizo la Ajira nchini

    Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya vijana wasomi wasio na kazi kuongezeka katika jamii zetu, hali inayopelekea kuongezeka kwa makundi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wanaofahamu kuhusu interview kwenye tume ya ajira.

    Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAKUKURU walitoa majibu?

    Waungwana naomba kujua mdogo wangu aliombaga ajira takukuru hivi walishatoaga au bado maana ilkua kimya mpaka leo?
  19. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania

    Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania. Utangulizi; Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, mhitimu wa kozi ya “Education with Religious Studies” anaweza kufanya kazi gani?

    Ufafanuzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…