Wimbi la ajali linaomgezeka, salamu za pole za Rais zinatolewa, watu tunahuzunika tunasahau Mara ghafla paaap, ajali nyingine tunahuzunika tunasahau.
Miaka mitano iliyopita ajali zilielekea kupungua hasa zile zinazopoteza uhai wa watu mengi, ni wapi tumelegea, wenye dhamana mko wapi, hatutaki...