ajali ya gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    POTOSHI Mwanaume aliyemwokoa mwanamke kutoka kwenye ajali ya gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji wa kingono

    Wakuu hii video inatembea sana mtandaoni kuwa Mwanaume aliyemwokoa mwanamke kutoka kwenye ajali ya gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji wa kingono. Je, mtu anawezaje kumshitaki mtu aliyeokoa maisha yake na kuita unyanyasaji wa kingono wakati wa kumuokoa? hii ni ya kweli?
  2. DuaZaMama

    Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  3. DuaZaMama

    Watu 7 wafariki dunia kwa ajali wakitoka kufurahia Simba Day

    Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya...
  4. R

    Muhubiri maarufu wa miujiza ya watoto Gilbert Deya afariki dunia kwenye ajali ya gari Kisumu

    Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Deya alifariki papo hapo baada ya gari lake kugongana na basi la chuo kikuu pamoja na gari jingine...
  5. LIKUD

    Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

    Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu) Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye...
  6. Damaso

    Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  7. Just Pray

    Watu sita wa familia moja wanusurika kwa ajali ya gari wakitoka Dar kuelekea Mwanza

    Gari aina ya Toyota Harrier lililobeba watu sita wa familia moja limepinduka baada ya kuacha njia na kuingia kwenye mtaro. Ajali hiyo imetokea leo Desemba 20, 2024 eneo la Kizumbi katika Manispaa ya Shinyanga, saa 9 mchana. Mmoja ya waathirika wa ajali hiyo, Diana Willibard amesema gari hilo...
  8. The Supreme Conqueror

    Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  9. P

    TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

    Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari. Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas Taarifa zaidi kukujia.
  10. MLIMAWANYOKA

    TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

    Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury. Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
  11. J C

    Nimeshuhudia ajali asubuhi hii, Julai 11, 2024 barabara ya Airport Mwanza jirani na Rock City mall

    Asubuhi hii barabara ya kuelekea Airport Mwanza jirani kabisa na Rock city mall, Isuzu Journey imeacha barabara na kuingia kwenye moja ya nyumbani zilizo jirani na Mall. Chanzo ni boda asiye na side mirror aliyetaka kuhama lane na dreva kumkwepa kitu kilichopelekea dereva kushindwa kulimudu...
  12. benzemah

    TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo. Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo. Picha kutoka eneo ilipotokea...
  13. Roving Journalist

    Channel Ten yamlilia Mwandishi wao aliyefariki katika ajali ya Gari iliyoua Waandishi wa Habari Wawili Mkoani Pwani

    Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani. Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
  14. JanguKamaJangu

    Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  15. BARD AI

    Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
  16. benzemah

    Rais Samia atuma Salamu za Rambirambi kufuatia vifo vya watu 15 ajali ya Gari mkoani Lindi. Atoa Maagizo

    Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa...
  17. Poppy Hatonn

    Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

    Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Ajali imetokea jana, amefariki leo. Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana. Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi. Hii ni...
  18. mtwa mkulu

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Yasin Ngonyani apata ajali ya gari

    Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti UVCCM wilaya ya Mbeya mjini amesema waliopata ajali wanendelea vizuri hospitali ya rufaa mbeya. Alikuwa akielekea katika ziara Chunya. wakukurupuka1
  19. B

    Mwenye taarifa yoyote ya ajali ya gari maeneo ya Iringa, awasilishe

    Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze. Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
  20. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
Back
Top Bottom