ajali mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Zanzibar Echo

    Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  2. Fbn

    Muujiza wa Kiti 11A: Walionusurika Ajali Mbaya za Ndege Miongo Mbili Tofauti

    Katika tukio la kushangaza linalovuka miaka na kizazi, kiti cha ndege nambari 11A kimekuwa gumzo duniani kutokana na miujiza miwili ya walionusurika ajali mbaya za ndege. Mnamo mwaka 1998, mwimbaji maarufu wa Thailand, Ruangsak Loychusak, alinusurika ajali ya ndege iliyotikisa taifa hilo —...
  3. Just Pray

    Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa

    Watu 28 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa Juni 7, 2025 majira ya saa mbili usiku, katika eneo la mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya. Ajali hiyo imetokea baada ya lori la mizigo kufeli breki na kugonga magari mawili...
  4. Waufukweni

    Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  5. Just Pray

    Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

    Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya. Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
  6. Tomaa Mireni

    Ajali mbaya Kilwa road

    gari kubwa lililobeba mbolea limehama njia na kuingia upande wa pili. Eneo la Mbagala . Wawili wahofiwa kupoteza maisha wakiwa kwenye bajaji
  7. Waufukweni

    Ajali mbaya imetokea Mombasa, Ukonga Lori la Mkaa lagonga IST kwa nyuma, Watu wahofiwa kufariki

    Wakuu Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo katika eneo la Mombasa, Ukonga, ambapo lori la mkaa kama unavyoona kwenye picha limegonga gari dogo aina ya IST kwa nyuma. Dereva wa gari aina ya IST aliposikia honi hizo na kuona lori likija kwa kasi, alijaribu kujinusuru kwa kuongeza mwendo, lakini...
  8. K

    Ajali mbaya Wilayani Karagwe

    Kumetokea ajali mbaya Wilayani Karagwe iliyohusisha Semi iliyogonga Hiace na Coaster.Ajali hiyo imetokea majira ya saa sita leo maeneo ya Kihanga Berrier.. Inasemekana zaidi ya watu 15 wamefariki hapo hapo.
  9. Mathias Byabato

    Ajali mbaya ya Gari 3 Karagwe Mkoani Kagera, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha

    Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo. Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi dhibitisha vifo ni vingapi na majeruhi ila ajali ni mbaya. Amesema kuwa roli likiwa limebeba...
  10. Mshana Jr

    Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  11. Brown B

    Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo. ======= Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
  12. feyzal

    Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

    Habari marehemu pichani amepata ajali buguruni na kupasuka kichwa, mwili umepelekwa hospitali ya Amana. Atakayemtambua awajuze ndugu zake.
  13. Yoda

    Umewahi kupata ajali mbaya ukiwa ndani ya bus?

    Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?
  14. pmwasyoke

    Simike, Mbeya: Ajali ya Lori na Coaster yasababisha vifo zaidi ya Watu 16 na kujeruhi wengine 18

    Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori limeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu. Inasemekana kuna vifo kadhaa. ----=========== Hii ajali imetokea leo mlima wa Simike Mbembela mkoani Mbeya na kuuwa watu 13 na kujeruhi watu 18, Chanzo cha ajali ni baada...
  15. M

    Ubovu wa Barabara ya Mbagala ni chanzo kikubwa cha Ajali

    Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika...
  16. U

    Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa Mungu ibariki Israel...
  17. TODAYS

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla. Kwa muonekano huo wa...
  18. P

    Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  19. kocha Nabi

    Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  20. JanguKamaJangu

    Uturuki yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia kutokana na ajali mbaya ya barabarani

    Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye. Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
Back
Top Bottom